muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya VETA yawe ni muhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita

    Nimekuawa nikiwaza Hivi tukipata kampuni kubwa mfano toyota ijenge kiwanda Tanzania ihitaji vijana 1000 walio somea kupaka rangi kwenye magari tutapata? Wakihitaji vijana 1000 walio somea Kuchomea tutapata? Wakihitajika vijana 500 waliosomea kutengeneza pancha na kujaza upepo kwenye magari...
  2. Shaycas

    JamiiForums Tanzania Maarifa na Elimu Muhimu katika Maisha

    Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika Elimu, Kijamii na Kiuchumi? Jisomee kitabu hiki: "MTOTO NA MAFANIKIO" hapa CALIPA - CAS Life Purpose...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa ndiyo Kocha Pablo kwa Mechi Muhimu ya Leo wala nisingepoteza muda badala yake 'ningejilipua' tu 'mazima' na Kikosi changu hiki...

    Kikosi cha Kuanza (cha Maangamizi) 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Joash Onyango 6. Jonas GENTAMYCINE Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Peter Banda Wa Akiba wawe hawa 1. Beno Kakolanya 2. Israeli...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kipaji pekee hakitoshi, Elimu ni msingi muhimu katika ukuzaji wa Sanaa

    Sanaa mara nyingi imekuwa ikitokana na kipaji ambacho msanii anazaliwa nacho, msanii aliyezaliwa na kipaji fulani hufanya vizuri zaidi katika fani husika kwani kitu afanyacho kipo kwenye damu na hufurahia kukifanya. Lakini msanii huyu ili afanye vizuri zaidi anatakiwa kuongezewa elimu katika...
  5. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Je, ni muhimu kusimuliana kila kitu na mwenzio mnapokua katika uhusiano?

    Kitambo nilipenda kusimulia kila kitu kwa mtu niliye mpenda kama sehemu ya kunogesha story na mahusiano lakini nimeona hio hali ni mbaya mno maana inaweza anzisha dharau ulizozipanda wewe mwenyewe. Unaweza sikia siku akipandwa mapepo ndo maana ulikuwa mpiga chabo janamume Zima hovyooo😂 Au ndo...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uwazi katika Utendaji wa Serikali: Nyenzo Muhimu ya Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Mapambano dhidi ya Rushwa

    Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Daktari: Muhimu kupima figo angalau mara moja kwa mwaka

    Wananchi wanashauriwa kufanya vipimo vya magonjwa ya figo angalau mara moja kwa mwaka, ili kupunguza hatari ya utambuzi wa magonjwa hayo katika hatua za hatari. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo wa Hospitali ya Saifee Tanzania iliyopo Kinondoni, Dk Mercy Mwamunyi amesema hayo alipokuwa...
  8. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Hiyo ramani inaweza gharimu jumla kuu Bei gani

    Hiyo ramani inaweza gharimu jumla kuu Bei gani Location Niko Mwanza
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari ni nguzo muhimu, walindwe

    Tasnia ya habari imekuwepo kwa vizazi na vizazi, Tasnia hii imechangia kufanikisha mambo mengi sana ikiwamo, maendeleo, kukuza lugha, kutoa elimu mbalimbali, kuonesha sehemu zenye fursa za kiuchumi na kufichua ubadhilifu katika mambo mbalimbali ikiwemo kwa watumishi wa Umma nk. Tasnia ya habari...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Geita: Watoto 2 wafariki kwa kushambuliwa na nyuki

    Watoto wawili wenye umri wa miaka minne wamefariki kwa kung’atwa na nyuki katika kijiji cha Kamena wilayani Geita Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Geita Willison Shimo amekiri kutokea kwa vifo vya Watoto hao na kuitaka jamii kuzingatia kuweka ulinzi katika maeneo yao ya ufugaji wa nyuki dhidi ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason Dini imekuwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wapiga hatua muhimu kubadilisha jamii licha ya vikwazo

    Na Serah Nyakaru Juhudi za wanawake kuleta mabadiliko duniani sasa zinaonekana katika kila pembe ya dunia. Nchi zilizostawi na zinazostawi kote duniani zina miradi ambayo inaendeshwa ama ilianzishwa na wanawake tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo mfumo dume uliwatenga wanawake. Hivi sasa...
  13. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Karibu 75% ya vitu vinavyouzwa na Russia&Ukraine vinapatikana Tanzania. Serikali ina mpango gani walau kuwa mdau kwenye Trade exp

    Kwa pamoja Ukraine na Russia wanaongoza kwa kuwauzia na ndio wazalishaji wakubwa wa: 1. Ngano Hii n malighafi kwenye viwanda vya CHAKULA na pombe Russia n muuzaji mkubwa wa ngano kwa nchi za ulaya. TANZANIA Kuna maeneo Kama Manyara huko unaambiwa enzi hzo mahekari kwa hekariz zililimwa ndio...
  14. Ileje

    JamiiForums Tanzania Jaji Joachim Tiganga ameikosesha Mahakama point tatu muhimu dhidi ya Serikali

    Kitendo cha Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake watatu kuamua kuwa wana kesi ya kujibu na baadaye serikali kupitia kwa DPP kusema hawana nia ya kuendelea na kesi kimeidhalilisha sana mahakama. Endapo Jaji Tiganga angemaliza kesi hii mara baada ya...
  15. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi wakamata mji muhimu wa bandari Ukraine

    Wanajeshi wa Urusi wameukamata mji mmoja muhimu wa bandari wa Ukraine na kuuzingira mwingine kama sehemu ya juhudi za kuitenganisha nchi hiyo na Pwani yake. Jeshi la Urusi limesema limechukua udhibiti wa Kherson na maafisa wa Ukraine katika eneo hilo wamethibitisha kuwa wanajeshi wamechukua...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Biden aitamka Iran badala ya Ukraine kwenye hotuba muhimu ya hali ya kitaifa (sotu)

    State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa. Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha miradi wala mikataba, Tume Huru ya Uchaguzi ndio muhimu

    Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku. hayo matembezi na mikataba haina faida kama ndani ya nchi hakuna utedaji wa haki,kuchagua kiongozi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

    Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kuwa fursa muhimu ya diplomasia ya uchumi kwa Tanzania

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki alipohojiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 cha kituo cha televisheni cha ITV, alifafanua vizuri kuhusu fursa inazotoa China kwa Tanzania, iwe ni katika sekta ya viwanda, kilimo, biashara na hata uwekezaji. Baadhi...
Back
Top Bottom