Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji.
Itapendeza sana kama watanzania tutaona wenyewe kupitia system itakayoandaliwa iwe ni website au app. Kama walivyofanya CDM mwaka fulani kuona...
Tatizo la ajira linazidi kuwa janga kubwa sana afrika na dunia na soko la ajira zitazidi kuwa baya zaidi miaka kadhaa baadaye baada ya dunia kuendelea kuamini juu teknolojia ya roboti kuliko binadamu katika kufanya kazi kwa weledi , kulalamika tu kwamba tumesoma na hakuna ajira huku tukiendelea...
MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?
"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.
Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
Habari zenu wanaJF!
Ni hivi, kuna msichana mmoja nilizoeana nae sana kipindi alipokuwa ameolewa. Kuna kipindi ndoa yao iliingia dosari akaachana na mumewe wakiwa na mtoto mmoja, kiufupi huyu msichana hakuwa na kosa la kuachwa Ila mumewe alifanya maamuzi haraka sana ya kumuacha kwa mambo ya...
Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo, kutumika na ubeberu, udikteta , n.k. Hoja za pande zote ziheshimiwe na kuwekwa mezani.
Ni muhimu...
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
chama
chama tawala
dar
dar es salaam
hasara
kuelimishwa
kuhusu
kupoteza
maana
mazingira
mbio
mbio za mwenge
muhimu
mwenge
mwenge wa uhuru
naomba
nguvu
nimechoka
nje
pesa
serikali
shughuli
siasa
swali
tafadhali
tena
thamani
uchumi
ufafanuzi
uhuru
umuhimu
wakuu
wananchi
Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu.
Nasikia mmoja anamwambia mwenzake; “basi wakati namalizia kuosha vyombo...
Wazazi/walezi wengi hutamani kujenga tabia mbalimbali nzuri kwa watoto lakini hujikuta katika njiapanda ya kuchagua tabia ipi waiwekezee nguvu zaidi ya nyingine. Katika kuhudumia kwangu wazazi kwa kuwapa ushauri kwa miaka zaidi ya sita sasa nimekutana na wazazi wengi ambao wanajua tabia gani...
N.B: NI KWAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA ELIMU NA TAALUMA.
Si ajabu wengi wakiwemo hata viongozi wanadhani internet ni kwajili ya upuuzi tu maana wengi kwenye hutumia internet kufanya vitu visivyo na faida mfano kudiscuss umbea kwenye magrupu, kufanya umalaya, video za x, kuwa waraibu wa muvi...
Kama Samia atakuwa ni mtu wa kukaa chini na kufikiri kwa makini basi atagundua kuwa yeye kuwa hapo siyo accident, Bali Mwenyezi Mungu amemuweka hapo kwa sababu maalum.
Machozi na vilio ambavyo watanzania walipitia katika utawla wa Magufuli, Mwenyezi Mungu aliamua kuwafanyia wepesi kwa kumuondoa...
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.
Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari.
Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19.
Nawasalimu kwa jina la...
"Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana "
Chanzo: BBC Dira ya Dunia Leo hii.
Haya mnaoshupalia Katiba mpya na kutupigia Kelele zenu za 'Nongwa' kila Siku Mh. Mbowe hana...
ATTENTION
DEAR MEMBERS
For those who are posting free internet data, free this and free that.
Let me teach you some basic ICT. Any Link that start with "http " is most likely a phishing link.
Phishing is usually intended to get your Personal details including your date of...
Tanzania imebahatika kuwa na mwambao mrefu sana wa bahari kuliko nchi nyingi barani Africa. Sisi tuna Zanzibar yote iliyozunguukwa na bahari, tuna Tanga mpaka Mtwara maji ya bahari tu.
Ikiwezekana tuwahamishie Bara baadhi ya wakazi wa Zanzibar ili kupata nafasi ya kujenga ports kubwa nyingi...
Kwema Wakuu!
Nilikuwa napitia majina ya Ndugu zetu waliopewa nafasi za Ukuu WA wilaya. Kwa kweli mkeka upo vizuri Kwa sehemu kubwa
Nawapongeza wote Mliopewa Nafasi hizo. Pia nampongeza Mhe. Rais, Samia Suluhu Kwa kuweza kujitahidi kuwaona hawa.
Ila neno moja Kwa wateuliwa;
Achaneni na Yale...
Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite aliiweka kwaajili ya wageni.
Uchaguzi uliopita baba yake alikua mmoja wa wazee wa chama kimoja...
VITU 4 MUHIMU UNAVYOPASWA KUVIJUA KABLA YA KUNUNUA USED IPHONE (IPHONE ILIYOTUMIKA)
(ukipuuza utazidi kupoteza pesa yako)
Leo nitaanika siri ziunazofanywa na wauzaji wa simu zilizotumika used iphone, Iphone ni simu nzuri sana na kila mtu anatamani awe nayo ila siyo simu rahisi (bei rahisi) ni...
Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani.
Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake?
Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
BUNDI ni ndege mwenye sura inayotisha kidogo kulinganisha na ndege wengine hasa kutokana na kuwa na uso mkubwa wa mviringo, macho makubwa ya mviringo na masikio makubwa.
Unaweza kusema ndege huyu ambaye hupenda kula nyama na wadudu ana kichwa mithili ya paka.
Bundi hufanya mawindo yao nyakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.