Jambo muhimu sana kwa wataalam wa Madini

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,550
1,733
Nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na mwalimu mmoja Mcanada alikuwa anafundisha shule moja ya madhehebu ya Wasabato inaitwa Parane Secondary School. Alikuwa anafundisha Chemistry na Physics. Don Straub. Alikuwa mzuri sana katika masomo hayo. Sehemu hiyo inaitwa Mamba Myamba, Upareni.
Kuna kipindi alitembelewa na Baba Mkwe wake toka Canada ambaye amebobea katika mambo ya madini.
Alilizunguka like eneo karibu wiki nzima, akampa taarifa fulani Mkwe wake, naye hakusita kuiweka hadharani.
Taarifa ni kwamba eneo lote lile linsalozunguka shule ile kuna wingi mno wa madini ya dhahabu, kiasi kwamba ukichukua muda na kufuatilia mtoni unaweza ukapata dhahabu. Baadae yule mtaalam aliondoka, na pia yule Mwalimu Don Straub akaondoka baada ya kufiwa na mkewe.
Limenijia hili wazo ghafla sijui kwa nini.
Wataalam fanyieni kazi ugunduzi huu.
 
Vifaa vya ugunduzi hawana
 
Wanakuja wadau
 
Wewe nenda kwenye eneo ukakamate hekari za kutosha na pia anza kuchekecha dhahabu, serikali itakuja bila kupenda wakiona watu wapo bize na uchenjuaji.
 
Mkuu ni siku nyingi. Huyo mwalimu alikuwa very friendly. Alilisema waziwazi kabisa. Alifiwa na mkewe akakatisha mkataba wake. Kaburi la mkewe liko palepale shuleni!
 
hivi ukitaka kufanya biashara ya madini, mfano mtaji wako mdogo kabisa unatakiwa uanze na kiasi gani mfano?
 
Inategemea na aina ya madini na aina ya biashara. Kama ni mnunuzi mdogo wa madini ya dhahabu(Broker) unaweza kuanza hata na 2M ila kama ni Mnunuzi na Muuzaji mkubwa (Dealer) mtaji wake wa chini ni 100M
 
me nataka kuwa mnunuzi mdogo.
 
Back
Top Bottom