MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Wakazi wa Kijiji cha Maharashtra wamedai wamejitangazia uhuru kutoka katika Dunia ya digitali baada ya kuchukua hatua hiyo ili kuwawezesha wananchi kupata muda wa kuzungumza.
Uamuzi huo umefikiwa ambapo wanazima TV na intanenti kila siku Saa 1:00 Usiku hadi 2:30 Usiku wakiamini teknolojia hiyo...
Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi?
Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia.
Viongozi wengi wa sasa...
Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake.
Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki.
Hakika mpira wa miguu itaukumbuka uwezo...
Wadau salama,
Nina swali kidogo hapa nahitaji msaada! Je, kulala katika zulia/carpet kwa muda mrefu kunaweza kuwa na madhara huko mbeleni ya kiafya?
Nawasilisha
Nmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi,
Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia kipato. Maana muziki wa sasa pesa, siyo mpaka kufanya tamasha tu.
Pia itawajengea kufahamika na kizazi...
Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake.
Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho.
Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni.
Kwa mujibu wa utafiti mpya...
Jamani naomba kujua kuhusiana na chuo Cha bandari ambacho kipo TANDIKA pale hivi short course zile mbona nina bei kubwa sana na kwa wiki 6 tu na vipi KUHUSU ajira zake zipoje maana nataka kwenda kusoma pale na ipi ni kozi nzuri ambayo itakuwa rahisi kwa ajira.
Mwenye uelewa KUHUSU ili...
Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.
Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala.
The...
"Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters )
Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno...
Watanzania ni washenzi, nianze kwa kusema hivyo. Tumekabidhi hii nchi mikononi mwa CCM na tumeacha itupeleke kama inavyotaka na hatutaki kuhoji.
Wakati wa uchafuzi mkuu wa 2020 mzee wangu alikuwa anashangilia kwamba wameshinda majimbo yote. Mimi nilimsikiliza tu nikaishia kumsikitikia. Mzee...
guest-1786390423
Thread
africa
kufa
kupoteza
kutafuta
mpinzani
muda
watanzania
Kupigania katiba nyingine ni kulenga kuleta mabadiliko kamili ya mfumo wa utawala.
Jukumu hili ni gumu na zito kuliko kumfurusha mkoloni mlowezi halisi.
Kwa hakika hawakukosea PAC, SA na kauli mbiu yao pendwa:
"One settler, one bullet."
Maneno matupu yakiwamo ya kuwataka wafanye hili au...
Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka
Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
Naam tuachane na ile mambo ya kukopa. Tuchukulie ile akiba kidogo inayoweka kutokana na mshahara wako tu unaolipwa kama umeajiriwa.
Uliweza kutumia miezi, miaka ama decade ngapi kupata mtaji wa Tshs. Milioni 3?
Mjadala huu utasaidia waajiriwa wengi kujijua wapo kwenye hali gani kulingana na...
Habari za muda huu wakubwa kwa wadogo.
Hongereni kwa majukumu ya kila siku ya kujitafutia riziki.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Naomba kujua ni kwanini national identity card iwe na expire date,kuna taarifa ambayo itabadilika ama lengo ilikua nini?
Pia soma; Serikali yaondoa ukomo wa...
This one is for the people.
Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu. Ni Siri kubwa iliyofichwa katika namba. Toka binadamu anazaliwa huwa kuna namba maalumu ambazo initiates yoyote ambaye yupo kitendo anaweza kufahamu destiny yako. Namba ya kwanza MTU anayopewa IPO katika cheti cha...
...mchezo mchafu unaoendeshwa na Nato huko Ukraine tulishautambua.
....tumeitisha jeshi lote la akiba.
....hivi punde, Dunia itashuhudia isichokuwa ikikitarajia.
Putin.
Nb: Ndugu zangu tuombe Mungu atunusuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.