Naomba kujua haya kuhusu Chuo cha Bandari

ABDUL FUNGA

New Member
Sep 3, 2022
4
2
Jamani naomba kujua kuhusiana na chuo Cha bandari ambacho kipo TANDIKA pale hivi short course zile mbona nina bei kubwa sana na kwa wiki 6 tu na vipi KUHUSU ajira zake zipoje maana nataka kwenda kusoma pale na ipi ni kozi nzuri ambayo itakuwa rahisi kwa ajira.

Mwenye uelewa KUHUSU ili ANISAIDIE tafadhari ndugu zangu
 
Jamani naomba kujua kuhusiana na chuo Cha bandari ambacho kipo TANDIKA pale hivi short course zile mbona nina bei kubwa sana na kwa wiki 6 tu na vipi KUHUSU ajira zake zipoje maana nataka kwenda kusoma pale na ipi Ni kozi nzuri ambayo itakuwa rahisi kwa ajira. Mwenye uelewa KUHUSU ili ANISAIDIE tafadhari ndugu zangu
Kama kuna mtu wa TPA amekuahidi kazi ukimaliza kusoma hapo nenda kasome, ila kama hujaahidiwa kazi achana na hiyo biashara.

Hizo short course zinawafaa waliopo kazini kubrash brain.
 
Back
Top Bottom