Kuwatetea Watanzania ni kupoteza muda

Sella turcica

Senior Member
Oct 13, 2020
103
190
Watanzania ni washenzi, nianze kwa kusema hivyo. Tumekabidhi hii nchi mikononi mwa CCM na tumeacha itupeleke kama inavyotaka na hatutaki kuhoji.

Wakati wa uchafuzi mkuu wa 2020 mzee wangu alikuwa anashangilia kwamba wameshinda majimbo yote. Mimi nilimsikiliza tu nikaishia kumsikitikia. Mzee yuko kijijini anashangilia Mbowe kukosa ubunge.

Hivi leo hii Mbowe akiugua ataenda kutibiwa kwenye hospitali ya halmashauri ambayo haina hata gloves? Mtoto wa Mbowe anasoma kwenye shule ya kata ambayo haina walimu wala vifaa vya kujifunzia?

Je, kuna namna yoyote Mbowe anaathirika na hizi tozo tunazolalamikia? Unakuta mtu anasema wapinzani mbona mko kimya kuhusu tozo. Huwa natamani kumtukana huyu mtu, basi tu. Kwenye uchaguzi wawachague kina Mwigulu na Zungu, halafu linapokuja suala la kuwatetea wananchi iwe kazi ya wapinzani, kwa misingi ipi?

Mimi naona wote wanaofanya harakati za kuwatetea watu wanapoteza muda, unless kama kuna malipo kwa ajili ya hiyo kazi. Unamtetea mtu ambaye ukikamatwa anasema una kiherehere. Tundu Lissu alijitoa kusema ukweli tangu mwanzo ambapo mikataba ya kilaghai inasainiwa na kupitishwa na wabunge wa CCM.

Juzi Magufuli anajifanya kusema tunaibiwa ilhali alikuwa bungeni wakati mikataba inapitishwa. Lissu hakuchoka kusema ukweli, leo hii wamekuja kuthibitisha kuwa zile reports za kin prof Osoro zilikuwa professorial rubbish. Cha ajabu Lissu anaitwa msaliti na kuna watu walitamani afe.

Watanzania hawa leo wanaona wabunge wa CCM wanachofanya kule bungeni. Badala ya kuisimamia serikali wao wanasimama na serikali kuwakandamiza wananchi, lakini cha ajabu uchaguzi ukija watawachagua tena.

Watanzania hatujielewi, wacha serikali ya CCM itunyooshe vizuri huenda akili zikatujia. wanaopaza sauti watulie tuli dawa iingie. Dawa ikikolea vizuri wananchi wenyewe watasimama kudai haki zao bila kushawishiwa na mtu. Kama haufadiki directly na harakati bora utulie ufanye mambo yako ya msingi.

Nawasilisha.
 
Mcc ipo madarakani na utumbo wao wote, unagundua kuna wajinga ndio mtaji wa hiki chama

Yani hivi kura ya mwana diplomasia mmoja na Mjinga mmoja wa darasa la 7. Zote zipo sawa
Kwaio wajinga 10 na wenye utimamu wa akili 7
Hapo wajinga wana nguvu

Tanzania tuna idadi kubwa sana ya wajinga, na ndio mtaji mkubwa wa mcc
 
Usituletee hasira zako na akili yako mgando hapa, kwani wewe Nani amekwambia tuna tatizo na uongozi huu shupavu na wenye kuleta matumaini? Sisi tunamuunga mkono mh Rais wetu mpendwa kwa namna anavyo tutumikia kwa upendo na weledi mkubwa Sana, Tunaona juhudi za mh Rais wetu katika kutukwamua kimaisha , tunaona namna anavyopambana na changamoto mbalimbali hapa nchini,

Tuondolee nuksi zako hapa na Hakuna aliye kuagiza kutusemea sisi, huo utoto peleka pale ufipa ndio mkawe mnapotoshana Kama watoto wadogo
 
LiMsukule lingine hili hapa
 
Kwa ujumla Kama taifa tuna kazi kubwa kujenga taifa lenye uzalendo weledi na lenye kujitambua,
Then ndo tunaweza kupata viongozi wa taifa na vyama wanaojitambua na wazalendo
Kwa Sasa hata vyama tulivyodhani vingekuwa mdadala wa ccm , vimeonyesha udhaifu mkubwa kwenye misimamo agenda Hadi demokrasia yake ya ndani
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana Hadi kwenye vyama vyetu vya upinzani
 
Hao akina Mbowe na kundi lake la akina Mnyika na Lissu na Lema, sugu.... Wanapata kick back nyingi sana kutoka serikalini, kama unadhani wanafanyia kanisa, ni wewe tu, ni kawaida sana kuitwa na kupewa milioni 200 mpaka. Bilioni.

Wakikuandamanisha ukalambwa risasi, au ukavunjwa mguu au kufungwa wao ndio wanapata mpunga zaidi
 
Back
Top Bottom