Ally Kamwe: Yanga SC haikuwa na Wasemaji bora, ila Mimi ndiyo Msemaji niliyekuwa nikitakiwa muda mrefu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,561
108,898
"Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters )

Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno yako na hizi Dharau zako kwani unaweza kujikuta pabaya na usiamini.

Kaka yako GENTAMYCINE nimeanza Kuzijua hizi Klabu Kubwa na Kongwe Mbili za Simba na Yanga kabla hata hujazaliwa na nawajua walivyo hivyo kuwa makini kuliko udhaniavyo.
 
Ukitaka kujua tabia ya maskini mpe cheo au pesa.. huyo kijana sikuwahi kumuamini ana sura mbili na zote ni za kinafiki sana..
 
"Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters )

Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno yako na hizi Dharau zako kwani unaweza kujikuta pabaya na usiamini.

Kaka yako GENTAMYCINE nimeanza Kuzijua hizi Klabu Kubwa na Kongwe Mbili za Simba na Yanga kabla hata hujazaliwa na nawajua walivyo hivyo kuwa makini kuliko udhaniavyo.
Mweleze huyo dogo kuwa umeijua Yanga kabla Matola hajajiunga jf mtani🤣🤣🤣
Carleen
 
Kama kweli kaongea hayo basi amekosea mno tena sana. Nilimuona yuko smart kumbe naye mpenda sifa hivi
Hakuna u smart pale kwa ile kazi ya msemaji! ni kazi mbaya sana ili uiweze lazima ufuate mfumo wake wa kupenda sifa, kupenda majungu na fitna, ujue kujishaua, ujue kutukana watu, ujue kuwasimanga wapinzani, ujue kutania , ujue kusifia watu wako hata kama ni wachovu na ujue kujisifia wewe mwenyewe, ujue uchawi na kamati ya ufundi, ujue kujitoa ufahamu na ujue kukosoa na uwe tayari kukosolewa!!

Bahati nzuri Ally Kamwe amekuja utopoloni kumenoga timu iko vizuri , kazi yake itakuwa rahisi, Yanga tunashinda kila mechi, tunachinja Simba at will, tunapiga kila timu , tumesahau kabisa uchungu wa kupoteza mchezo.
 
ile kazi ya msemaji ni mbaya sana ili uiweze lazima ufuate mfumo wake wa kupenda sifa, kupenda majungu na fitna, ujue kujishaua, ujue kutukana watu, ujue kuwasimanga wapinzani, ujue kutania , ujue kusifia watu wako hata kama ni wachovu na ujue kujisifia wewe mwenyewe, ujue uchawi na kamati ya ufundi, ujue kujitoa ufahamu na ujue kukosoa na uwe tayari kukosolewa!!

Bahati nzuri Ally Kamwe amekuja utopoloni kumenoga timu iko vizuri , kazi yake itakuwa rahisi, Yanga tunashinda kila mechi, tunachinja Simba at will, tunapiga kila timu , tumesahau kabisa uchungu wa kupoteza mchezo.
Ufike wakati wasemaji wabadilishe sura ya soka sio huuu ujinga ujinga
 
"Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters )

Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno yako na hizi Dharau zako kwani unaweza kujikuta pabaya na usiamini.

Kaka yako GENTAMYCINE nimeanza Kuzijua hizi Klabu Kubwa na Kongwe Mbili za Simba na Yanga kabla hata hujazaliwa na nawajua walivyo hivyo kuwa makini kuliko udhaniavyo.
Tatizo la wengi wanaojiita wasemaji wa timu hizi kubwa mbili simba na yanga wakipata nafsi hizo huwa wanachowaza cha kwanza ni kuwa maarufu wapate pesa za matajiri mambo ya professional yanawekwa pembeni..
 
Back
Top Bottom