muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Harmonize kweli wewe ni kiboko ya WCB

    Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea. WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha. Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao! Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
  3. Tonydigital

    JamiiForums Tanzania Oliver N’Goma: Barre (Mapenzi ni muda)

    Habari wadau !! Leo tuingalie kibao cha mkali wa miondoko ya zouk afrika; Oliver N’Goma. Nyimbo: Barre Maana: Hapana/ Imetosha / Strongly No. Kutoka: 1995 Album: Adia Lugha: Lumbu ( Gabon) Mwandaaji mkuu: Manu Lima Label: Lusafrica. Kibao hiki ni nambari nne ( 4 ) Katika album ya pili...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tutumie muda wetu mwingi kuikosoa Bajeti, kushauri ili kuiboresha na siyo kuisifia kinafiki na kwa kujipendekeza

    Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Wabunge wetu hawa hutumia muda gani kutafakari mambo, muda wote ni makofi na kuimba tu

    Mimi ni mfuatiliaji wa mabunge mbalimbali duniani. Katika mabunge makini ninayoyafuatilia huo naona panapofanyika mawasilisho (submissions),Wabunge huwa watulivu na wenye kutafakari mambo (digest issues). Sisi wabunge wetu hapo ni kupiga meza (makofi),kucheka na hata kuimba muda wote! Do we...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tumpe Muda Rais Samia, ni Mapema sana kulaumu au kupiga makofi

    Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho. Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama yuko madarakani. Mama anasafiri kila wakati, nchi tunakopa pesa ,anakusanya Tozo ,anatafuta maeneo...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mbwa asili wa Tanzania hawaumwi kirahisi, rahisi kuwanunua na kuwahudumia, wanaishi muda mrefu. Tuache ushamba wa kupenda mbwa wa nchi za nje?

    Wana kinga asili nzuri dhidi ya magonjwa Ni nadra sana kukuta hawa mbwa wetu wamepelekwa hospitalini kutolewa minyoo (de -worming), hata wengi tunaowafuga hawajawahi kuchomwa sindano yoyote tangu wazaliwa lakini wanadunda. Kuwalisha kwa gharama nafuu Hata ukiwachanganya ugali na dagaa kwa...
  8. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Ili uzi udumu muda mrefu humu kuna vigezo gani?

    Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
  9. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Rais sio Mungu, Punguzeni kumshukuru mwanadamu mwenzenu kila muda

    Hili jambo lilianza awamu ya tano,kila kitu asante JPM , matokeo yake huyo JPM akafariki (RIP). Hii ilitosha kutufunza Raisi wetu sio Mungu , ni mwanadamu tu. Badala ya kujifunza , hivi sasa awamu hii kila mtu asante Mama, yaani wanamshukuru hata kwa vitu walivyofanua wao. Wanaokera zaidi...
  10. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia ili kufupisha muda wa ukarabati wa nyumba ya kukuingizia fedha

    Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo mwekezaji husika. Hivyo, ili uweze kufanya ukarabati wenye tija zaidi unahitaji kuwa na maarifa sahihi na...
  11. Marumeso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujipe Muda wa Kufanya Tafakari (reflections) Binafsi

    Japo kwa uchache jitahidi kupata private moment ya kufanya tafakuri wewe mwenyewe (saivi wanasema wewe kama wewe), ukiwa kwenye utulivu mbali kabisa na makelele ya binadamu mwingine awaye yeyote yule not even your wife, michepuko or even your kids. Inasaidia kuipa akili utulivu stahiki wa...
  12. Juandeglo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda hubadilika....tupendane

    Salamu zenu nyote. Niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kuperuzi mitandao nimekutana na mtu mmoja mwenye mtoto alie na cancer ya damu. Lakini pia mke wake alishafariki miaka ya nyuma so ni single father (maybe or maybe not ukweli anaujua mwenyewe). Lakini kabla ya mkewe kufariki siku moja...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mjue 'Banana Spider' ambaye akikuuma unasimamisha kwa muda wa zaidi ya saa

    Ni maajabu ya buibui huyu anayefahamika kama Brazilian Wandering Spider au Banana Spider ambaye ana sumu kali inayosababisha maumivu makali, ikiwemo kichwa kuuma nk ameonekana kuwa neema kwa wanaume wenye matatizo ya dhakari kusimama. Mwanaume akiumwa na buibui huyo huweza kusimamisha uume kwa...
  14. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

    Muda huu soko lililopo mbele ya Daraja la TAZARA au Mfugale upande wa kushoto kama unatokea Buguruni linateketea kwa moto. Jina la soko silikumbuki vizuri, sijui linaitwa Vetinari. Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe. Nimepita muda huu nimekuta soko linateketea. Zima moto na gari lao wapo ila...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usiruhusu kila mtu akuzoee ni KOSA kubwa mno pia weka muda maalum wa watu kukupigia simu

    Ukiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea. Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya...
  16. Kifaru86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ivi ujauzito huanza kujitokeza au kuonekana baada ya muda Gani

    Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi hawa ndio wachezaji bora wa muda wote kwa timu za Yanga na Simba na Taifa Stars miaka ya 90s, wewe je?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

    Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10. Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya Tunisia na Es Setif ya Algeria kumbe wale wapuuzi wa soweto Orlando pirates walikuwa na viporo vitatu na...
  19. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya malipo Tanzania inaongeza watu kuwa wavivu makazini

    Mtu anaenda safari analipwa 250000 kwa siku lakini mtu anayekesha na kazi mahali fulani analipwa chini ya 60000. Kwa hiyo mtu anayesafiri sana ndo anafanya kazi na sijui serikali ya mama samia imechukua kigezo gani. Kwa kweli hili halijakaa sawa maana linaendekeza nchi kuwa na wavivu...
  20. Riz king

    JamiiForums Tanzania Hizi ajira za TAMISEMI zinatoka baada ya muda gani?

    Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika.
Back
Top Bottom