UTAFITI: 95% Ya wanaofanyia kazi nje ya ofisi wana "stream" movies na muziki muda wa kazi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,117
50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni.

Kwa mujibu wa utafiti mpya, karibu nusu ya wafanyakazi walisema wanatumia masaa matatu ya muda wa kazi angalau kwa siku tatu kwa wiki kustream vitu online.

Walipoulizwa kwa nini wanatiririsha maudhui muda wa kazi, (68%) walisema inafanya siku yao kuwa ya kufurahisha zaidi, huku (65%) wakisema ni kati ya starehe zao, (44%) walisema wanaifanya kwa sababu inawafanya wawe makini zaidi.
=========================

The study by The Streamable surveyed 1,000 work-from-home employees to find out why employees stream content during their workday, how many people do it and how often. The full report dives into greater detail, breaking down what type of content workers are streaming, why they stream content during the workday, and how workers vs managers view the impact of streaming during work on productivity.

Findings from the report showed that (28%) of employees said they streamed a show during a meeting, while (26%) said they accidentally missed a meeting altogether because they were caught up in a TV show they were streaming. The study also found that the highest number of hours per day that respondents reported streaming was three to four (39%), with (35%) saying they stream content for one to two hours a day.

Regarding what type of content workers are streaming, the report noted that movies were by far the most common type of content streamed at work, with (50%) of respondents admitting to watching films during the workday. Netflix was the top streaming service for movies (52%), followed by Amazon Prime Video (44%). TV shows were the second most common streamed content at 40%, while 38% said they watched live TV. A notable (33%) of respondents said they streamed content primarily on a work device.

The report concludes that employers who still penalize workers for streaming content at work may have to reevaluate their position on these matters, as there certainly seems to be a correlation between people’s job satisfaction and the fact that they watch TV, movies, and other content during the day.

“As attitudes around working change and the work-life balance become more of a priority for people, there’s no question that workers will be streaming more in the future while on the job,” the report stated.

THE INSIDER
 
Tangu asubuhi ni youtube instagram twitter jf.

Nahisi mpaka nitakaporudi nyumbani bando la kampuni ni buree

Kama kuna mtu ana movie kali au series anitajie maana nimeangalia ninazozipenda mpama nimezichoka
 
Back
Top Bottom