MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wana JF
Maana ya kuuliza hivyo kuna siku moja nimeenda zahanati tena ya serikal nmefika pale nikamuelezea daktari hali yangu na yeye akanielekeza kwenda maabara baada ya kufika kule nikapewa chupa cha kuhifadhia mkojo
Cha ajabu
Baada ya kurudisha sampuli...
aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete.
Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania na Tanzania ilibaki kuwa moja.
Nyerere alikataa uchawa Kama ilivyokuwa kwa Kikwete mambo ya...
Baadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja...
Tusipuuze taarifa au tetesi za magaidi wa huko Msumbiji kuvamia msafara wa Wapiganaji wetu, kama ipo na ni taarifa ya kweli matukio ya spinning za akina Bashiru mkae chonjo, ziara na maandamano yote yatapofusha macho na masikio kuhusu habari za magaidi waliovamia msafara sio jambo la kuchekea...
Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8.
Nilikuwa naomba mawazo yenu kuhusu faida za mkopo wa muda mrefu na muda mfupi ingawa nafahamu kuwa changamoto kubwa ya mkopo wa...
1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje...
Yaani ni Moto.
Ama zake ama zangu. Kocha analiwa kichwa.
Huyu ndg potter aliambiwa amchukue kristiano anakadai hayupo kwenye mipango..
Soon Chelsea watapokea kijiti Cha man utd. Migogoro na wamiliki
Habarini,
Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi
Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema.
Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...
Kwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata!
Cha msingi lengo ni huduma bora!
Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona!
Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
Habari wakuu sana,
Kuna zile simu unapigiwa lakini unakuwa hautaki kupoke au muda huo hauwezi kupokea kwa sababu mbalimbali.
Sasa zinaita muda mrefu inakuwa kero na kukata huwezi. nimeona kuwa kwa wastani simu inaita sekunde 30-45.
Kuna namna ya kufupisha labda iite sekunde 5 au 10 hivi...
Habarini.
Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia.
Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini
Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD
Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
Si kila muda ni muda sahihi bali muda wa Bwana,rejea Yohana 7:6 Yesu akawajibu, “Wakati wangu wa kwenda huko haujafika, ninyi mnaweza kwenda wakati wowote,ni kweli asubuhi yako inaweza kuamua ni kwa kiasi gani siku yako itakuwa kwa mjumuisho ni kweli asubuhi ndio uwa na matayarisho juu ya siku...
Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji kujitathmini upya.
Katika swala zima la uokozi muda wa majanga watanzania tumefeli na tunaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.