muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi

    Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi Mbunge Asya Sharif Omar amesema ipo changamoto kwa wizara ya Maji watumishi wake ngazi ya Wakurugenzi na wakuu wa vitengo kukaimishwa kwa muda mrefu katika nafasi walizopo. Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimewahi kukutesa kwa muda mrefu ukiachana na mahusiano ama kumpoteza mtu?

    Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile Kufirisika / kufulia Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k. Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k. Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anayefaham hotpot ambazo zinatunza joto Muda mrefu

    Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na Rais Biden hawasemezani kwa muda mrefu sasa. Sababu ni vita vya Gaza

    Vita vya Israel na Palestina vinazidi kutoa matokeo hasi na ambayo hayakutarajiwa kabisa. Mataifa rafiki na ya kiislamu yameanza kutofautiana na kuanza kupigana yenyewe mfano ni Iran na Pakistan na Iran kupiga ndani ya Syria na Iraq bila hofu ikiwinda vikundi vinavyofadhiliwa na Israel. Hata...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

    Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni furaha iliyoje kurejea nyumbani baada ya kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu?

    Ni takribani miaka 15 tangu nimeondoka nchini na kwenda kutafuta fursa katika nchi za wazungu. Ni katika harakati za binadamu kutafuta rasilimali za kuboresha maisha yake na ya watu wengine wanaomzunguka. Hivyo mimi si wa kwanza na sitakuwa wa mwisho. Hata muda huu ninavyoandika airport, bus...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Anjela atimiza ndoto yake ya muda mrefu, Zuchu akubali kufanya nae kazi

    Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu. Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

    Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji. Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha. Nasubiri...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Placement za PSRS kuchelewa kwa muda mrefu

    Habari zenu wakuu? Kuna suala linanichanganya sana akili. Ni kuhusu placement za PSRS kuchelewa mno. DUCE walikaa miezi mingi kabla ya kuitwa (sio chini ya 8). Kwa sasa kuna kada tangu ifanye usaili mwezi Julai 2023 mpaka leo hii Dec 15 bado hayajatoka majina ya walioitwa kazini. Najaribu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi 9 kutoka Afrika waliotawala kwa muda mrefu zaidi na bado wapo madarakani

    1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Miaka 44 Huyu anashikilia rekodi ya kuwa Mtawala aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Ni Rais wa Equatorial Guinea ambaye ameshika madaraka tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua Mjomba wake Francisco Macías Nguema. Mbali na Afrika, Mbasogo anashikilia rekodi...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Biden amekatishwa tamaa ikiwa anaamini "wameanza" tu kupoteza uungwaji mkono, walipoteza uungwaji mkono muda mrefu uliopita

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1734635313849397334?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel wameanza kushtuka hawafahamu hatina ya vita wanauwa raia wasikuwa na hatia na Hamas ndiyo kwanza wanaanza...
  12. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya muda mrefu nimepata mtandao mzuri wa kunishauri muvi/series kulingana na vionjo vyangu, Ni zaidi ya kuchuja Genre, napata kitu roho inapenda.

    Nimezunguka sana jamiiforums, reddit, yts, n.k. katika kusaka muvi kali za kucheku lakini nikaja gundua watu tumetofautiana vionjo, ushauri wa muviz upo juu juu haujaingia kwa ndani kugusa vionjo vya ndani zaidi, matokeo yake unaweza shauriwa cheki muvi flani lakini unaishia kupoteza data na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bunge baada ya kuchokwa kwa muda mrefu wamekuja na kiki ya ku-trend

    Bunge lililokosa uungwaji mkono na wananchi walio wengi kwa muda sasa wananchi wamelipotezea na kulisusa. Ktk mitaa mingi mikoa na wilaya watu hawamjui hata Waziri wa Kilimo ni nani wala waziri wa Maji. Imefika mahali watu wanahamia kwenye hoja na mojadala ya mitandaoni kama Facebook...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa wapenzi wa muda mrefu na hadi kufunga ndoa ni kitu kinavutia sana

    Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao na kujuana ndugu wa pande zote. Basi kwenye maelezo yule jamaa akasema alikutana na huyu manzi...
  16. Alves124

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

    Habari zenu ndugu zangu wa JF Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi Sasa juzi wakati nacheki student...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wawili wametrend sana kwa muda mrefu. Picha zao ziko kila kona ya internet

    Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi zikitumika na profile tofauti tofauti na wapigaji wa mitandaoni. sijui nini reason behind ya hawa mabinti...
  18. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Itachukua muda mrefu sana kwa walimu kuweza kujisimamia na huenda isitokee kabisa!

    Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha Mwalimu Maganga kukataliwa ombi lake. Wanadhani wao watakuwa salama? Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu. Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once. Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo...
  20. Brilliant Bryan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na mahusiano ya muda mrefu

    Jinsi ya Kuwa na Mahusiano ya Muda Mrefu na Mbinu za Kufuata Mahusiano ya muda mrefu ni kitu ambacho kila mtu anatamani kuwa nacho. Ni muhimu kutambua kuwa mahusiano ya muda mrefu yanajumuisha kazi na juhudi za pande zote mbili. Hapa chini, tutajadili mbinu kadhaa ambazo zinaweza kusaidia...
Back
Top Bottom