Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle

Nikaja kugundua kwamba nipo serious sana kiasi kwamba personal life ya ujana siipi nafasi, yani route zangu zilikuwa hostel na chuoni tu Labda weekend ntaenda church imetoka hio, pindi likiisha narudi hostel ama kuwe na group discussion.

Ndipo nikaanza kubaki na wadau baada ya mapindi hata kama hakuna discussion ndio nikaweza kuongeza knowledge na connections na uwezekano mkubwa wa kuupiga ngwala usingle.

nikiwa hostel chuo kikifunguliwa wadau nilikuwa nadhani wapo chuoni kufatilia ratiba kumbe wanawindwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza.

Nikiwa hostel nilikuwa napitwa na matamasha na events kibao ambazo wana wakienda wanaokota madodo.

Nikaja kuona maisha ya chuo ni ya kubalance kupiga kitabu kwa sana ila usisahau personal Life
 
Kanuni ni ile ile usiondoke chuoni na 'Clean Sheet' jitahidi uambulie hata fest yia, maana kesho na kesho kutwa ukikumbuka maisha yako ya Chuo atleast uwe na kitu cha kusimulia kuwa i had a good time (kuplay safe ni muhimu sana sio unadandia tu likurumbembe ilhali unajua limeshindikana)

Yaani zile nishawahi kuwa desa boy, nishawahi kupigwa kibuti, nishawahi kupiga mtu exile na vitu ka hizo😂
 
Kupigwa excile kulikuwa kunanipa hasira sana, nikaona hapa nisiwe mnyonge.

Chuo ukimaliza hujaruka hata na first year wa cheti / certificate ni kama mkosi
 
Kanuni ni ile ile usiondoke chuoni na 'Clean Sheet' jitahidi uambulie hata fest yia, maana kesho na kesho kutwa ukikumbuka maisha yako ya Chuo atleast uwe na kitu cha kusimulia kuwa i had a good time (kuplay safe ni muhimu sana sio unadandia tu likurumbembe ilhali unajua limeshindikana)

Yaani zile nishawahi kuwa desa boy, nishawahi kupigwa kibuti, nishawahi kupiga mtu exile na vitu ka hizo😂
Nshampiga sana mwana Exile na yeye ndie alinihost geto 😁 semister iliofata nikapanga na mubeibe kabisa
 
Back
Top Bottom