muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Babajide avunja rekodi ya kutwerk muda mrefu

    Babajide Adebanjo amevunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa ku-Twerk Muda Mrefu zaidi. Alicheza kwa masaa 3, dakika 30.
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbowe yuko madarakani muda mrefu? Aachie ngazi nashauri

    Ili chadema ionekane ni chama cha demokrasia nashauri mbowe aachie ngazi. Asigombee tena uenyekiti
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bishop Josephat Gwajima: Mamlaka ya Rais yadhibitiwe Ili asitoke nje ya mpango na Dira ya nchi ya muda mrefu

    Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya Taifa vya muda mrefu Ili ajikite hapo. Amesisitiza kuwa, maono ya Taifa ya muda mrefu yakiwekwa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

    Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana. 1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba. 2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore. 3.Viktor Orban-Miaka 28...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Vicobs wapewe maua, wametatua kilio cha muda mrefu cha kadeti orijino, kwa sasa hatuna haja ya kufanya mawindo mitumbani, Ni mkataba !!

    Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni original. yaani walioweza kununua kadeti original za dukani walikuwa ni wale daraja la juu zaidi kiuchumi...
  6. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Zijue fursa zilizopo kwa Kila mkoa ili uamue vyema sehemu sahihi ya kuishi na kuwekeza kwa muda mrefu

    Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui. Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kubeba ujauzito na kukosa hedhi kwa muda mrefu

    Habari zenu wadau, Naomba kushea hii kitu, kuna mtu nimekutana naye ana shida ya uzazi lakini mwanzo aliweza kubeba ujauzito na kujifungua mtoto mmoja. Baada ya hapo hakuweza tena kubeba ujauzito wala kupata hedhi kwa muda wa miaka 4 hadi sasa. Mwenza wake alijuzwa na madaktari kuwa mkewe...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania kukaa muda mrefu kwenye Matengenezo huko Malaysia

    Nchi ya Tanzania ilinunua ndege mpya aina ya dreamliner natumaini ni mwaka 2021 lakin ndege hii haina zaidi ya miaka mitatu tayari iko gereji. Ndege mpya aingii akilini mwangu. Wakati ndege hiyo inapelekwa kwenye matengenezo wananchi hatukutaarifiwa na baadaye raia mwema ndo katoa taarifa...
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani nitumie za kuniwezesha kudumu na mwanamke?

    Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri Uvumilivu -0 Utulivu-0 Tamaa -100% Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa

    Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178 pamoja na kujumuisha dawa nne zilizokuwepo kwenye Mwongozo wa Taifa wa Matibabu lakini hazikuwemo...
  11. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania CCM bila kujua Wanakuza Popularity Ya CHADEMA na Kuifanya iwe Juu sana baada ya Kupoteza Popularity kwa Muda Mrefu hii Haiko sawa

    Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena.. Kitendo cha CCM na Serikali kuanza kukizungumzia Kunafanya Vyombo vya Habari kuanza kukifatilia na Bahati...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanyama 9 wanaoweza kuishi bila Chakula wala maji kwa muda mrefu

    Chakula ndio chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu kufanya kazi vizuri. Chakula pia huongeza usagaji chakula huku kikiipa nguvu mifupa, misuli na mishipa ya fahamu. Ikiwa hatutakula, tunaweza kuwa na hasira na upungufu wa maji mwilini. Wanadamu hawawezi kuishi bila chakula na maji kwa siku...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tips zitakazokusaidia kutunza gari lako likadumu muda mrefu zaidi

    Wakuu. Najua wengi uwa tunajiuliza, inakuaje gari la mwaka 2015 linatoka Japan likiwa na Kilometa 100,000 linafika Tanzania baada ya mwaka mmoja linaonekana chakavu ova limekaa miaka 20 mbele? Ni kweli tatizo linaweza kua gari lenyewe, miundombinu yetu, mmiliki/dereva, hali ya hewa na sababu...
  14. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

    Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically. Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile...
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

    Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle Nikaja kugundua kwamba nipo...
  16. George Charles007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  17. baba aura

    JamiiForums Tanzania Kuugua mafua kwa muda mrefu hupekekea kuziba kwa mishipa?

    Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
  18. O

    JamiiForums Tanzania Miguu kupata ganzi wakati wa kukaa muda mrefu

    Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada kujua tatizo linaweza kuwa nn? Dr Ahmed Albah-Shahwa na Madr wengine msaada.
  19. O

    JamiiForums Tanzania Nikikaa muda mrefu napata ganzi za miguu

    Salam wadau wa afya, Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni. Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yemen chini ya Houth yataja mikakati yake ya kupigana na Marekani kwa muda mrefu

    Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan. Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina. Mikakati iliyotajwa na...
Back
Top Bottom