Hapa ninapoandika umeme umekata, Sijui ni lini umeme kukatika itakua historia, at least kwa mwezi ukatike mara moja.
Kwa mfano eneo ninapoishi,
Ndano ya siku kumi (10)
1. Wameka umeme kuanzia asubuhi hadi jioni giza laanza kuingia mara tatu (3).
2. Wamekata umeme usiku kuanzia mida ya saa nne...
Kaka Lema hii ngoma unayopiga imefika mpaka Ndani walipofugia misukule (wtz) endelea kuipiga hiyo ngoma kwa ustadi zaidi ili wafuga misukule (viongozi waovu) waamke na kutubu.
Haiwezekani tufikirishwe vitu vidogo vidogo.
Haiwezekani eti bodaboda ni ajira wakati hainihakikishii maisha marefu na...
Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani.
Kwa mujibu wa Guinness, Watoto hao wamezaliwa zikiwa zimesalia Wiki 18 kufika Wiki 40 zinazotakiwa Kiafya kwa Mama Mjamzito kuwa...
Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe.
Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale zilipoweka Na sasa ni zaidi ya miaka 13. Je kuna madhara kwenda kuzitoa wakuu?
Au zinapobaki haziwezi leta...
Usione Mchungaji Msigwa na Mr.Sugu wamechakazwa mno na wakina mama kule Iringa na Mbeya ambako wanachukuliwa kama wafalme ukaona ni tukio la kawaida.
Jesca Msambatavangu ambaye ni mbunge wa Iringa na Tulia Ackson ambaye ni mbunge wa Mbeya ni wanawake kwa muonekano tu lakini ni mashupavu kama...
Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji.
Baadhi wameonesha wasiwasi wao kuwa dawa hizi husababisha kupata watoto wa kiume wenye homoni nyingi za kike, au hata kupata watoto...
Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu.
Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka. Akakuvumilia akiamini utabadilika lakini wapi. Sasa amekuacha unaona ghafla lakini kamwe sio ghafla alianza...
Alikuwa ni rafiki ambae ananichangamkia sana haipiti siku bila kunitumia meseji za salamu, alikuwa anapenda tuchat, kukumbushana visa vya shuleni, n.k.
Kiukweli niwe muwazi kiuchumi tumepishana ila hatuchunguzani sana, tunajuana vichache yeye anajua tu kwamba mimi nina biashara kadhaa ambazo...
Dhana potofu ni imani zinazojengeka kwenye jamii ambazo si za kweli. Dhana hizi hurithishwa kwa vizazi na watoto hufahamishwa tangu wakiwa na umri mdogo.
Mfano wa dhana potofu ni ugonjwa wa mabusha "Hydrocele" kusababishwa na unywaji wa maji ya madafu.
Je, imani ipi potofu unaijua kwenye jamii...
Utafiti wa zaidi ya miaka 17 wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani ulibaini kuwa Wenza wanaozungumza baada ya Kukwazana na Kupandishana Hasira, wanaishi muda mrefu zaidi.
Pia, utafiti umebainisha kuwa Mtu mwenye Hasira muda mwingi huwa na huzuni ambayo inamuweka kwenye hatari ya kupata...
Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana.
Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni, wala mtandaoni, pengine hata kwenye mikutano ya vyama.
Kutokana na kuyumba kwa maamuzi ya wizara basi...
Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.
Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee.
Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia...
Donetsk kumewaka moto, Warusi wapoteana....viongozi wa Urusi wanasema hawajashuhudia aina hii ya mashambulizi kwa miaka mingi.
MOSCOW, Dec 15 (Reuters) - Ukrainian forces shelled the Russian-controlled eastern Ukrainian city of Donetsk overnight in some of the biggest attacks for years...
Habari wana jamvi
Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu
Nb. Wapo walonishauri ninywe pombe lakini mimi si mpenzi wa hvyo vinywaji
Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8.
Nilikuwa naomba mawazo yenu kuhusu faida za mkopo wa muda mrefu na muda mfupi ingawa nafahamu kuwa changamoto kubwa ya mkopo wa...
1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje...
Habarini,
Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi
Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.