Baada ya muda mrefu nimepata mtandao mzuri wa kunishauri muvi/series kulingana na vionjo vyangu, Ni zaidi ya kuchuja Genre, napata kitu roho inapenda.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Nimezunguka sana jamiiforums, reddit, yts, n.k. katika kusaka muvi kali za kucheku lakini nikaja gundua watu tumetofautiana vionjo, ushauri wa muviz upo juu juu haujaingia kwa ndani kugusa vionjo vya ndani zaidi, matokeo yake unaweza shauriwa cheki muvi flani lakini unaishia kupoteza data na muda wako.

Wengi tumewahi kusechi muvi kwa kigezo cha genre lakini hizi genre bado huwa ni pana sana, ni sawa na kusema unapenda kula bila kutaja chakula, waweza kuwa mdau wa muvi za action lakini si kila muvi ya action ikakusisimua, huwa tuna vionjo vya ndani zaidi mfano muvi haitoshi tu iwe ya action bali iwe inahusu tukio la kigaidi, iwe ina fundisho la maisha, iwe na motivation, n.k. muvi haitoshi iwe tu ya mapenzi bali iwe ya kisaiko;okia, ikupe elimu ya maisha, n.k.

Basi ndio jana katika upekuzi nimekutana na huu mtandao yani unakuchambulia muviz kwa undani zaidi

Mfano mimi nilipenda sana ile muvi ya Hotel Mumbai inahusu tukio la kweli la kigaidi lilikotokea nchini India na jinsi majeshi yalivyoweza kudhibiti, nikaingiza jina la hiyo muvi zikaja recommendations nyingine za muvi zinazohusu story za kweli, ugaidi, matukio ya kigaidi, muvi za Jihad, muvi za Jihad hoteli, muvi za kihindi

Yani ukiingia humo ndani unakutana na muviz za ziada tena za nchi mbali mbali sio Marekani pekee, na kama jana nimedownload muvi ya huko sri lanka haifahamiki sana lakini balaa nililokutana nalo nililala saa nane usiku maana iligusia kunako vionjo vyangu.

mtandao wenyewe unaitwa best similar

Asante kwa muongozo,
 
Za X zipo!?

Usiku huu nalala pekee yangu kama PANGA kwenye ala yake, nijichukulie sheria mkononi nilale zangu, kesho niamkie kubeba magunia yangu haoo mjini.
 
Sio kila mtu kijana humu, especially jukwaa hili la entertainment ambalo limelenga rika zote,

Uwe unalifikiria hilo kabla hujaamua kuandika
 
Kosa mie kuuliza km X zipo..

Jukwaa la entertainment, nami si ndio nataka kujiINTATEINMETISHA myself, kwani nimeleta habari za siasa au international forum..

Nisamehe mie mkuu
 
Back
Top Bottom