mtu

  1. Akili za mtu na choo anachotumia

    Kama unatumia choo cha kuflash basi... Kama cha shimo Karatasi maji... Mtihani ni pori mfuto Jani😃😃😃
  2. Ni dawa mbili tu nimeshuhudia zinamuachisha mtu pombe, moja nikiitekeleza mwenyewe

    1. Kupasuliwa yai - kaka wa rafiki yangu huyu alikuwa ni mlevi kupindukia, kilichofanyika ni siri yangu mimi na rafiki tu, kaka mtu kama kawa alikunywa mpaka hajitambui tena akazima, tulipomuona chap chap rafiki akamvua boxer kaka yake , nilipasua yai nikalikoroga nikaliweka kwenye bomba la...
  3. U

    Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

    Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi. Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF. So...
  4. Kama kuna mtu anauza laptop ya PackardBell na Dell inspiron N5040 leo kwa pamoja nijulishe, Donge nono litatolewa

    Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna critical files ambazo hazina backup kwingine. Donge nono litatolewa.
  5. Ipi ni njia sahihi ya kupima uwezo wa akili ya mtu?

    Habari wakuu Ipi ni njia sahihi ya kutambua akili ya mtu
  6. Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

    Kwema Wakuu! Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi. Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
  7. Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Moja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
  8. C

    Aliniacha kwa nyodo na kuniita mbwa eti na mtu wake baada ya siku kadhaa akafariki

    Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa. Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
  9. M

    Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
  10. Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  11. I

    Umewahi jutia kwa kutomsaidia mtu?

    Nawapa salamu wanajukwaa, JF iendelee kuishi milele. Naomba niingie kwenye mada, Je, umewahi kujutia kwa kutokutoa msaada kwa mtu ambaye alikuwa akihuhitaji na ulikuwa na uwezo wa kumsaidia lakini ukamuacha bila ya msaada wowote? Hali hii imenikuta siku ya leo, lakini sitasimulia kisa cha leo...
  12. Ajali za Barabarani ziliua wastani Mtu mmoja kila baada ya saa 5 mwaka 2022

    Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla. Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
  13. Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

    Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia binti hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
  14. K

    Mtu akikupokea kwake, jiongeze hama mapema

    Habari wana-JF, Kama Watanzania na Waafrika tuna tamaduni za kukaribisha sehemu za ugenini hasa mtu mlietoka sehemu moja. Sasa kuna binadamu wengine akikaribishwa hujisahau kama vile kafika jumla Wala haangaiki kutafuta nyumba wala kiwanja. Sio ustaarabu huo!
  15. Kweli kuna Watanzania wako bize sana na maisha, mtu hajui hata DP World ni nini

    Inafurahisha na kusikitisha pia hebu msikilize huyu jamaa akihojiwa😂😂💔
  16. Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
  17. R

    Je, Wanajeshi watalazimisha kuchukua nguo za kijeshi hata kwa wanaomiliki kwaajili kufanya kazi za sanaa wakati sheria haijazuia?

    Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema" Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
  18. Hadithi zilizofundisha na kujenga "Utu wa mtu"

    Kuna mengi naweza kuyasahau kati ya yale niliyopata kuyasikia na kuyafanya katika utoto wangu, hasa katika kipindi nilipokuwa shule za awali, msingi na sekondari. Hata baadhi ya majina na sura za wale ambao nilitumia muda mwingi nikiwa nao katika kipindi hiki nimevisahau kabisa, na mara kadhaa...
  19. Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  20. Vita Kali niliyoiona na Kuitabiri katika moja ya Threads zangu hapa JamiiForums sasa imeanza na ataumia Mtu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane. “Kama watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…