mtu

  1. FRANCIS DA DON

    Mwanaume kucheza Amapiano kwa kubinua macho kama mtu anaepandisha mashetani ndio nini tena jamani?

    Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi.., Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
  2. Lord Denning

    Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

    Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu. Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu. Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
  3. mamaafacebook II

    Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

    nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho...
  4. thegreat1510

    Hivi kuna ukomo wa mara ngapi mtu ana fall in love kwa mwaka

    How many times would a man fall in love in his life time?
  5. Niache Nteseke

    Tanesco Mngesubiri Watu Wajiandae Waende Makazini Angalau, Mnakata Umeme Mtu Akiwa na Mapovu Bafuni Wazee...?

    Hata salamu sitoi. Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee. Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
  6. Mhafidhina07

    Karibu tanzania nchi isiyoisha matukio na watu wake wanaendeshwa kwa matukio

    Kicheko na kilio havifanini japo zote hali za hisia 0.KARIBU TANZANIA Nchi isiyoisha matukio na watu wake wanaendeshwa kwa matukio(mitandao) kila mtu anajua yaani mchumi atakupa habari au sheria za utabibu na mwanasheria atakuambia mambo ya uchumi. Leo hili kesho lile na kila mtu anajifanya...
  7. Mortence djuma

    Nahitaji mtu wa IT kuna kazi anifanyie

    Nahitaji mtu wa IT Kuna kazi nataka anifanyie, 0624835630 Kuna maokoto yake apa chap
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Kuingia ndoani na MTU usiyempenda kutakuzidishia Upweke

    KUINGIA NDOANI NA MTU USIYEMPENDA KUTAKUZIDISHIA UPWEKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuishi mwenyewe ni kazi, kunachosha, kunakufanya uwe mpweke. Hapo Maisha yanapoteza mvuto. Lakini kuishi na Mwenza usiyempenda na asiyekupenda ndio kubaya zaidi na kunaleta upweke zaidi. Ninaposema...
  9. R

    Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  10. peno hasegawa

    Umri wa mtu mzima ambao haruhusiwi kuolewa au kuoa ni upi

    Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?
  11. Stephano Mgendanyi

    Jeshi la Polisi tumieni Sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria vya kuvuruga amani nchini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

    Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya, Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au send-off usiku nimkule. Yesu tusaidie wanaume. Unajua unaweza kuharibu familia kwa tendo la dk 3...
  13. R

    Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

    Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa. Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao...
  14. Sildenafil Citrate

    Nape asema utakuwa mtu wa ajabu sana ukiamini kuwa CCM hutoa takwimu sahihi kwa umma

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameibua mjadala kwenye mtandao wa X baada ya kusema kuwa amefanya kazi makao makuu ya CCM kwa takriban miaka 20, na mtanzania atakayepata takwimu zozote zinazokihusu chama hicho na akazimini atakuwa mtu wa ajabu. “Mpaka report...
  15. GENTAMYCINE

    Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  16. Msanii

    Ukubwa wa mtu yaani cheo uendane na uzalendo kwa TAIFA. Msitutishe na sheria mbovu mlizotunga

    Sheria nyingi zimetungwa kulinda hadhi za viongozi kama kinga hususan hata wakiwa wapuuzi na majizi yanajitwika heshima na staha wasiyo stahili. Mnataka tuwaite waheshimiwa lakini hakuna hata heshima moja mnayostahili. Mnatumia mamlaka vibaya kukandamiza wananchi wanaohoji na kukosoa. Kuhusu...
  17. nzalendo

    Akili za mtu na choo anachotumia

    Kama unatumia choo cha kuflash basi... Kama cha shimo Karatasi maji... Mtihani ni pori mfuto Jani😃😃😃
  18. sky soldier

    Ni dawa mbili tu nimeshuhudia zinamuachisha mtu pombe, moja nikiitekeleza mwenyewe

    1. Kupasuliwa yai - kaka wa rafiki yangu huyu alikuwa ni mlevi kupindukia, kilichofanyika ni siri yangu mimi na rafiki tu, kaka mtu kama kawa alikunywa mpaka hajitambui tena akazima, tulipomuona chap chap rafiki akamvua boxer kaka yake , nilipasua yai nikalikoroga nikaliweka kwenye bomba la...
  19. U

    Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

    Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi. Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF. So...
  20. FRANCIS DA DON

    Kama kuna mtu anauza laptop ya PackardBell na Dell inspiron N5040 leo kwa pamoja nijulishe, Donge nono litatolewa

    Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna critical files ambazo hazina backup kwingine. Donge nono litatolewa.
Back
Top Bottom