Hussein Mohamed bashe na ubongo wa Oscar kambona mtu mtata! Mbishi anayejiamini kupita kiasi

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Huyu ndio Hussein bashe ,akilitaka lake lazima liwe! Na asipolitaka lako halitakuwa ,huyu ndio bashe! Anapenda kutunisha misuli hata mahali pasipohitaji misuli ,kiongozi asiyetaka kuhojiwa na yeyote isipokuwa rais na makamu wa rais .

kwa maana hiyo hata waliompigia kura hawana ubavu wa kumhoji ,Wala kutaka ufafanuzi wa jambo lolote isipokuwa rais na makamu wa rais .anajaribu kuvaa ngozi ya nungunungu na kujificha nyuma ya rais .viongozi wa aina hii sio tu wana kiburi Bali huwa natabia za ufisadi mkubwa ! Kiongozi yeyote anaejiwekea ukuta kama huu wa Hussein bashe mara zote huwa hawakosi kuwa na makandokando mengi ana miradi mingi ameianzisha mingi kati ya hiyo Ina dhana za kufikirika na upigaji !kwa mfano huo mpango wa kuandaa vijana kuwaweka kambi Dodoma !

Na kutumia mamilioni ya pesa kwa watu 400 tu au miatano ,hayo mabilioni yangepelekwa kwa wakulima vijijini wakakopeshwa hata matrejta madogo ya kulimia ni vijiji vingapi vingenufaika? Hiyo kambi inatumia ghalama za serikali yaani ni kilimo Cha bording hakiwezi kuleta matokeo yoyote katika nchi hii ,hapo uwekezaji ule na pesa yote iliyowekezwa pale haitarudi kabisa! Imepotea! Itarudije kwa kulimia hekari Moja ya hoho na nyanya? Na huku wakulima wanaishi kambini?

Juzi ametoa utaratibu mpya wa wananchi kuwasiliana nae ,anataka wananchi au wakulima waiscani wasapu yake ili waweze kuwasiliana ,hapa napo Kuna shida ni wakulima wangapi Wana smartphone? Kwa nini asiiweke namba yake kama wanavyofanya wengine! Wakulima waanze kuscan ndio wawasiliane na wewe unawapa bando? Hebu acha kujiweka ndani ya chupa mwisho utakosa hewa !

Oscar kambona alikuwa kipenzi Cha mwalimu Nyerere ,alikuwa rafiki kweli kweli wa mwalimu ,lakini yeye Oscar alichaguwa njia ya kutokusikiliza wengine Bali kujisikiliza mwenyewe, Leo Hussein hataki kuhojiwa hata na viongozi wa chama chake anatutumua Misuli ,ninani mwajiri mkuu wa Hussein?

Ni serikali au ni chama? Chama kinawajibu wa kuibana serikali na kuisimamia kwanini anaona viongozi wa chama hawana hadhi ila serikali? Chama kikiamua kumvua uanachama serikali itampata wapi?

Hussein anaheshimu meno na kudharau fizi zilizobeba meno yenyewe! Chama Cha ccm msikibali mtu awaone viongozi wa chama hawana hadhi
 
SIJAKUELEWA
ssss.jpeg
 
Huyu ndio Hussein bashe ,akilitaka lake lazima liwe! Na asipolitaka lako halitakuwa ,huyu ndio bashe! Anapenda kutunisha misuli hata mahali pasipohitaji misuli ,kiongozi asiyetaka kuhojiwa na yeyote isipokuwa rais na makamu wa rais .kwa maana hiyo hata waliompigia kura hawana ubavu wa kumhoji ,Wala kutaka ufafanuzi wa jambo lolote isipokuwa rais na makamu wa rais .anajaribu kuvaa ngozi ya nungunungu na kujificha nyuma ya rais .viongozi wa aina hii sio tu wana kiburi Bali huwa natabia za ufisadi mkubwa ! Kiongozi yeyote anaejiwekea ukuta kama huu wa Hussein bashe mara zote huwa hawakosi kuwa na makandokando mengi ana miradi mingi ameianzisha mingi kati ya hiyo Ina dhana za kufikirika na upigaji !kwa mfano huo mpango wa kuandaa vijana kuwaweka kambi Dodoma ! Na kutumia mamilioni ya pesa kwa watu 400 tu au miatano ,hayo mabilioni yangepelekwa kwa wakulima vijijini wakakopeshwa hata matrejta madogo ya kulimia ni vijiji vingapi vingenufaika? Hiyo kambi inatumia ghalama za serikali yaani ni kilimo Cha bording hakiwezi kuleta matokeo yoyote katika nchi hii ,hapo uwekezaji ule na pesa yote iliyowekezwa pale haitarudi kabisa! Imepotea! Itarudije kwa kulimia hekari Moja ya hoho na nyanya? Na huku wakulima wanaishi kambini? Juzi ametoa utaratibu mpya wa wananchi kuwasiliana nae ,anataka wananchi au wakulima waiscani wasapu yake ili waweze kuwasiliana ,hapa napo Kuna shida ni wakulima wangapi Wana smartphone? Kwa nini asiiweke namba yake kama wanavyofanya wengine! Wakulima waanze kuscan ndio wawasiliane na wewe unawapa bando? Hebu acha kujiweka ndani ya chupa mwisho utakosa hewa ! Oscar kambona alikuwa kipenzi Cha mwalimu Nyerere ,alikuwa rafiki kweli kweli wa mwalimu ,lakini yeye Oscar alichaguwa njia ya kutokusikiliza wengine Bali kujisikiliza mwenyewe, Leo Hussein hataki kuhojiwa hata na viongozi wa chama chake anatutumua Misuli ,ninani mwajiri mkuu wa Hussein? Ni serikali au ni chama? Chama kinawajibu wa kuibana serikali na kuisimamia kwanini anaona viongozi wa chama hawana hadhi ila serikali? Chama kikiamua kumvua uanachama serikali itampata wapi? Hussein anaheshimu meno na kudharau fizi zilizobeba meno yenyewe! Chama Cha ccm msikibali mtu awaone viongozi wa chama hawana hadhi ,

  • Ni maisha yake
  • Haituhusu
  • CCM ni ya hovyo kuliko Bashe
  • CCM ina maslahi yake, sio wananchi
 
Bashe ana akili.

Mwenezi Hana mamlaka kumkemea waziri hadharani, ni ndani ya vikao vya chama pekee.

Viongozi aina ya Bashe ni WA kupigiwa mfano.
 
Kazi ya chama ni kuisimamia serikali ambayo ni pamoja na mawaziri na kingine hivi mnajua maana ya itikadi na uenezi ?
 
UNAKUSANYA WAKULIMA KAMBINI?UPUUZI MTUPU NI BORA ANGEWEKA KWENYE PEMBEJEO.AKAANGALIE MSOGA KWA KIKWETE AMEWEZA BILA KURUNDIKA WATU
 
Huyu ndio Hussein bashe ,akilitaka lake lazima liwe! Na asipolitaka lako halitakuwa ,huyu ndio bashe! Anapenda kutunisha misuli hata mahali pasipohitaji misuli ,kiongozi asiyetaka kuhojiwa na yeyote isipokuwa rais na makamu wa rais .

kwa maana hiyo hata waliompigia kura hawana ubavu wa kumhoji ,Wala kutaka ufafanuzi wa jambo lolote isipokuwa rais na makamu wa rais .anajaribu kuvaa ngozi ya nungunungu na kujificha nyuma ya rais .viongozi wa aina hii sio tu wana kiburi Bali huwa natabia za ufisadi mkubwa ! Kiongozi yeyote anaejiwekea ukuta kama huu wa Hussein bashe mara zote huwa hawakosi kuwa na makandokando mengi ana miradi mingi ameianzisha mingi kati ya hiyo Ina dhana za kufikirika na upigaji !kwa mfano huo mpango wa kuandaa vijana kuwaweka kambi Dodoma !

Na kutumia mamilioni ya pesa kwa watu 400 tu au miatano ,hayo mabilioni yangepelekwa kwa wakulima vijijini wakakopeshwa hata matrejta madogo ya kulimia ni vijiji vingapi vingenufaika? Hiyo kambi inatumia ghalama za serikali yaani ni kilimo Cha bording hakiwezi kuleta matokeo yoyote katika nchi hii ,hapo uwekezaji ule na pesa yote iliyowekezwa pale haitarudi kabisa! Imepotea! Itarudije kwa kulimia hekari Moja ya hoho na nyanya? Na huku wakulima wanaishi kambini?

Juzi ametoa utaratibu mpya wa wananchi kuwasiliana nae ,anataka wananchi au wakulima waiscani wasapu yake ili waweze kuwasiliana ,hapa napo Kuna shida ni wakulima wangapi Wana smartphone? Kwa nini asiiweke namba yake kama wanavyofanya wengine! Wakulima waanze kuscan ndio wawasiliane na wewe unawapa bando? Hebu acha kujiweka ndani ya chupa mwisho utakosa hewa !

Oscar kambona alikuwa kipenzi Cha mwalimu Nyerere ,alikuwa rafiki kweli kweli wa mwalimu ,lakini yeye Oscar alichaguwa njia ya kutokusikiliza wengine Bali kujisikiliza mwenyewe, Leo Hussein hataki kuhojiwa hata na viongozi wa chama chake anatutumua Misuli ,ninani mwajiri mkuu wa Hussein?

Ni serikali au ni chama? Chama kinawajibu wa kuibana serikali na kuisimamia kwanini anaona viongozi wa chama hawana hadhi ila serikali? Chama kikiamua kumvua uanachama serikali itampata wapi?

Hussein anaheshimu meno na kudharau fizi zilizobeba meno yenyewe! Chama Cha ccm msikibali mtu awaone viongozi wa chama hawana hadhi
Hamna hoja ! Mna lenu jambo ambalo hamtafanikiwa kwasababu waziri haisimamii mabwana shamba kama mnavyotaka watu waamini!!
Kama kuna matatizo kwenye miradi ya wizara anayosimamia , fanyeni special audit badala ya kufanya majungu.
 
Ingekuwa hamna hoja usingejibu ,umejibu baada ya kuona Kuna hoja
 
Nikweli kabisa jamaa kawaweka bording
System itaruhusuje mradi uanze kutekelezwa bila kuhakikisha kuwa kuna matayarisho ya kutosha? Wanaotakiwa kuwajibika ni waziri na watendaji wahusika wa huu mradi.
 
Back
Top Bottom