mtu

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona kuna Nafasi ya Uteuzi iko wazi na anafutwa Mtu halafu kisha akajadiliwa mno JamiiForums jua kwa 100% hapati tena

    Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100% Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Chochote kinachompotezea mtu muda huonekana kizuri.

    Katika zama ambazo kumeibuka vitu vingi vinavyoweza kumpatia mwanadamu uraibu wa kupoteza muda ni zama tunazoishi. Uzoefu wa kawaida wa maisha unaonesha mambo yanayopoteza muda wa watu kwa visingizio au sababu mbalimbali kuongezeka mara dufu Duniani. Siyo jambo la ajabu leo kumkuta mtu...
  3. The only

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

    Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti . Vigezo Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary Umri kuanzia 20 hadi 34 Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority Awe mrefu asiye muathilika . Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa...
  4. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

    Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni. 👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023. 1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  6. integraltracking

    JamiiForums Tanzania Chimbo la mabati na pvc bei mchina bila mtu kati

    Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani). Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid). Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Njooni Wanayanga tufurahie Ushindi hii Leo. Tunampiga mtu kipigo kibaya. Tukikosa points tatu Nipigwe Ban

    Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa. Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana. Hakuna papatu papatu. Mpira...
  8. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

    Huyu mwamba yupo wapi siku hizi
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tukielekea sikukuu jihadhari na kuacha chakula ama kijywaji mezani..Usimwamini mtu wamelia wengi

    WAPENDWA TUKIELEKEA SIKUKUU MUHIMU KUWA MAKINI HASA MNAPOENDA BAR KULA AMA KUNYWA KAMA HAUKO NA MWENZIO UKAVAMIA MEZA YA MTU JITAHIDI USIENDE MSALANI UKAACHA VINYWAJI AMA CHAKULA MEZANI UTALIA HII NIMEIKUTA MWAKAJANA MOSHI MTU KALIA VIZURI TUU NIKAMA WALISHAMJUA ANAGARI AKAJICHANGANYA...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

    Wanaukumbi. #JoshuaMollel: 👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”? Nina maswali: 1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)? 2)...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimekua disappointed sana na Mtu ambaye nilikua namuona wa thamani sana....ni week sasa Tangu nikutane na hio disappointment

    Wakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

    Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza sana na bado nazidi kushangaa ni kuona vijana wakisoma Shahada za Umahiri huku hawana kazi. Najiuliza...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nyangumi anaweza kummeza mtu aliye hai?

    Kwenye Biblia, kuna habari ya Mhubiri aitwaye Yona kumezwa na "samaki" mkubwa na kisha kutapikwa siku ya tatu. Sijui kama kuna tukio jingine kama hilo Iilishatokea karne hii! Mwaka 2021, raia wa Marekani, Michael Packard, alinusurika kuwa kitoweo cha nyangumi baada ya kujikuta ndani ya kinywa...
  14. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kumfanya mtoto wako awe mtu bora zipo kwako

    Wazazi daima tuna jukumu kubwa sana la kusisitiza maadili kwa kubwa kwa watoto wao hawa katika kipindi wanapokua na kuchunguza ulimwengu unaowazunguka, lakini lengo la msingi linaweza kuwa sio hilo bali ni kuwatengenezea msingi mzuri wa Maisha hapo mbeleni hata tukiwa hatupo karibu yao. Ingawa...
  16. Oya Tusepe

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumbadili mtu mzima tabia?

    Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe. Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo linauwezekano mdogo unaokaribiana na kushindikana. Na ikiwa utachagua kuamini kwamba haiwezekani kumbadilisha...
  17. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

    Hadithi ya Kevin de Bruyne na mwanamke aliyemwacha Picha ni marafiki wawili waliokua pamoja ndani timu ya kukuza vipaji nyumbani kwao Belgium mmoja wa kishua Thibaut mwingine wa maisha ya chini kabisa Kevin De Bruyne baadae wakanunuliwa na Chelsea ya vijana baadae mwanamke akawafanya kutengena...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana naye mradi wa kilimo

    Habari ya sasa hivi Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner) Document zote zipo vigezo financial free pia awe na interest na kilimo Mawasiliano 0757279834 0657888494 whatsap dgtafrica@gmail.com
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tunahakikishaje kuwa ni yeye kweli au amekuwa Cloned? Amerudi mtu mwingine?

    Huu ulimwengu watu wanakuwa cloned. Unaweza kuta Makamu alishafariki huko alikokuwa. Wametumia huu mwezi mzima ku mclone na kum coach mtu mwingine kumrudisha TZ. Hii Dunia hii.... Kwa sasa kila kitu si kama kinavyoonekana. Macho yamekuwa yakidanganywa sana.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
Back
Top Bottom