Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa.

Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu; kuliko ku fall in love cjui nn bla bla bla hapo utaumizwa tu lazima.
 
Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa. Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu; kuliko ku fall in love cjui nn bla bla bla hapo utaumizwa tu lazima.
Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu

Hivi hua mnadhani maisha ni maigizo haya ya kuandika kiswaenglish?..bure kabisa
 
Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa. Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu; kuliko ku fall in love cjui nn bla bla bla hapo utaumizwa tu lazima.
Tatizo mapenzi hayana formula mnaweza ku-match karibu kwa kila kitu na bado mkashindwa kutoboa baadae maishani, kila mtu akawa anavutia upande wake

Nafikiri cha msingi ni upendo, kuvumiliana, kuheshimiana na kuridhika

Na kuridhika ndio jambo kuu, ya kuwa utanipenda nilivyo,

kama umenipendea akili hata ukikutana na mwenye akili mara elfu zaidi yangu, ridhika na mimi

Ukinipendea utanashati ukikutana na mtanashati kuzidi mara mia yangu, still ridhika nami

Na chochote kile umenipendea ambacho hata ukijaribu kuoanisha na walichonacho ni mbingu na ardhi bado ridhika na mimi, huo ni upendo mkubwa sana
 
Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa.

Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu; kuliko ku fall in love cjui nn bla bla bla hapo utaumizwa tu lazima.
Kwa matakatazo na masharti haya mnatupa shida kufanya maamuzi. Leo hili kesho lile, masharti kibaao utafikiri mnaumbaga watu.
 
Back
Top Bottom