Phone ringing
Don’t worry kila kitu kinaenda kuisha leo mamii.
Wait, amepokea acha niongee nae.
Hello brother its Alpha speaking, najua unaweza ukawa unanifahamu kwa namna moja ama nyingine.
Go direct to the point (ilisikika sauti ya ukali kutoka upande wa pili wa simu).
Cool down brother...
Utasikia tu:
Ndoa ni heshima kwa wazazi
Ndoa ni heshima kwenye jamiii
Ndoa ni heshima kanisani
Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza
Nitaonekanaje mtaani
Nitawaaibisha wazazi wangu
Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo...
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi.
Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake.
Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea...
Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete.
Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda.
Kwa mujibu wa...
Wakuu nimeianza 2024 nikiwa wa moto sana kwasababu ya kujua hatima yangu itapofika 2024 sitakiwi kuwa na ndoa na jamaa wa 2023 alokuwa akinitumikisha, kwani 2023 alishadiriki kuivunja ndoa yetu na akaomba hiyo 2023 kabla haujaisha mwaka turudiane, kweli tukarudiana mi nikiwa na akili mbili mbili...
Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!
Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana.
Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na...
Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama...
Inashangaza sana. Sijajua ni njaa, stress, hulka, muwasho wa ngozi, mikono au nini.
Watu ni wagomvi balaaaaaah... Yaani anaweza hata kununua ugomvi wa mtu akaingilia akauchukua yeye. Sijui shida ni nini.... Sisi wengine ndo tumekuwa punching bags zao.
Sababu ya upole huu unakuta umekaa tu mtu...
Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script.
Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
Hivi kuna mtu humu hafanyi mining ya PI ?
Tafadhali chukua link hiyo mapema
Mambo ya kutekana tekana baadae mgodi ukishatema sisi hatutaki wakati link ya bure ulipewa
Pi Network - Home Page and use my username (Gershoms) as your invitation code.
Baada ya kuingia sokoni hutakua na...
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa.
Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo...
Kwema Wakuu!
Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema.
Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa...
UPEMBUZI YAKINIFU WA KITABU CHA MTU TAJIRI ZAIDI BABYLON
"THE RICHEST MAN IN BABYLON"
Na LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA.
KWAMBA,
THE RICHEST MAN IN BABYLON ni kitabu kilichoandikwa na GEORGE S CLASON, kinachoongelea siri ya utajiri iliyokuwa ikitumika na ustaarabu wa kale kabisa...
Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko.
====...
Kuna nadharia imezagaa ktk jamii nyingi kwamba mtu akiziona tupu za mzazi wake analaaniwa, yaani anapata ukichaa/gundu na mikosi kisha mambo yote yanakwenda kombo.
Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Halafu anapata laana.
Hii ni kweli??
Uganda wanapitia kipindi kigumu sana chini ya dictator Museveni. Leo nimesikia DW ya ujerumani inasikitisha sana watu wanauawa na kuswekwa ndani kila kukicha kisa tu dictator hataki kukosolewa kabisa na yeyote. Bora hata JPM yeye alikuwa anawaua watu kisiri Siri lakini huyu anawaua hadharani...
Angalia sifa kuu ya mtu yeyote ambae huishi kwa kujikomba komba au kujipendekeza kwa watu, mara nyingi hawa ni watu wenye sifa kuu ya kuwa wavivu wakubwa...mfano ndugu zangu warangi hawapendi kazi ngumu, hawapendi kazi zinazotumia kiwango kikubwa cha kufikiri yaani kutumia akili nyingi....
Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango.
Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa...
ROADMAP2024 Kwa Vijana: Kuwa Mtu katikati ya Binadamu.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unaweza ukajiuliza kwa nini katika sensa za zamani Wanawake hawakuchukuliwa kama Watu. Hata katika Biblia tunaona Yesu akilisha Watu(wanaume) elfu tano huku wanawake na watoto wakiwekwa kando. Jambo hilo...
Na uchungu sana.
Sababu ya ukengeufu wa maadili ndoa haziheshimiwi kabisa,watu wanapita tu ukiacha mlango wazi.
Watu Wana ndoa home wakienda makazini Wana ndoa zingine yaani ndoa juu ya ndoa.
Uhitaji kuumia utaacha wangapi wote wameoza.
Mtu akipita na mke / mme wako nawe pita na wake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.