Nina shida na namba za mkurugenzi wa RITA

Shabeli

Member
Jul 18, 2022
5
0
Habarini Wana JF,

Mimi nlikua nafanya kazi taasisi Fulani hapa Tanzania kwa bahati mbaya ikafutwa na maelekezo yakaja kwamba stahiki zetu tutapata baada ya Mkurugenzi wa RITA kukamilisha ufilisi na Sasa alishakamikisha na tukapewa fomu za kusaini tulipwe stahiki zetu ,Ilikua ni mwezi wa kwanza tuliposaini tukaambiwa ndani ya wiki tu tutakua tumelipwa Sasa Hadi Sasa ni Giza tu.

Hivyo kama Kuna mtu ana namba ya Mkurugenzi wa RITA naomba anisaidie tupate kujua mbona hiyo wiki imekua miezi Sasa.

Asanteni
 
Back
Top Bottom