Natoa mfano Magufuli ambaye kiukweli kabisa alikuwa mweupe kiungozi, kiakili na kimaadili. Lakini Cha ajabu ndo alikuwa anajisema sema eti watu wengine hawafai wakati yeye ndo hafai.
Nakumbuka Kuna wakati alikuwa natolea ufafanuzi wa CAG, akasema eti kama huwezi kumfukuza uliyemteua basi hufai kuwa Rais wakati katiba inasema hivyo kwamba CAG hafukuziki kabisa na ni independent institution isiyoingiliwa na Rais lakini yeye na umbumbumbu wake wa sheria aliingilia ki ubabe, Sasa nani hapo Hana akili?
Alikwenda bandarini akawa anafoka na anajifanya anajua physics kumbe sisi wataalamu tunamchora tu. Anasema eti infrared ndo inatambua kumbe uongo. Infraredo ni mionzi midogo ya kutambua kitu Cha karibu tu chenyewe kama chenyewe kakiwezi. Ila aliniona ana akili kumbuka utumbo tu