Usipojitoa utumwani basi huyu mtu atakutesa sana

Feb 4, 2024
67
206
Kuna watu kwa nje wanafurahia mahusiano ila ki uhalisia wanateseka sana na anayewatesa sio mwingine bali ni huyu mtu ambaye SIKU UKISEMA HUNA TU BASI HAKUNA MAHUSIANO 😔

Je, upo kwenye mahusiano na mtu huyo?

VIASHIRIA KUWA UPO KWENYE HUO UTUMWA.

1. Uko radhi ulale njaa ila yeye ashibe

2. Uko radhi ukakope ili tu yeye apate na tatizo sio dharura.

3. Uko tayari uvae vibaya ila yeye avae vizuri.

4. Huna jeuri ya kusema huna pindi akuombapo kitu.

5. Unajiona kabisa ukisema huna basi atakuacha.

KAMA MAJIBU YAKO NI NDIYO KWA MASWALI MATATU BASI UPO KWENYE UTUMWA NA SIO MAHUSIANO

Jinasue haraka kwani upo kwenye mahusiano na mtu ambaye anahusiana na vitu vyako na sio na wewe.

Mwanasayansi Saul kalivubha
 
USIPOJITOA UTUMWANI BASI HUYU MTU ATAKUTESA SANA.

Kuna watu kwa nje wanafurahia mahusiano ila ki uhalisia wanateseka sana na anayewatesa sio mwingine bali ni huyu mtu ambaye SIKU UKISEMA HUNA TU BASI HAKUNA MAHUSIAN...
Kama unapenda sana chini na huwezi kujicontrol basi utakuwa Mtumwa wa K
 
1710277005817.png
 
Back
Top Bottom