mtu

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kimedani: Mtawala au Rais hawezi kuwa na Imani na mtu mwenye ndoto ya kuwa Rais au mtawala kama Yeye.

    Hamjambo! Mtibeli ni Mwalimu wa wote. Utake usitake. Ukishupaza shingo Kafie mbele na lazima jambo baya litakukuta. Mwanaume hawezi kuwa na urafiki na rafiki anayemtamani Mkewe. Hiyo ni Kanuni. Ukishakuwa mtawala utaelewa hili. Sisi Watibeli tunafahamu saikolojia ya mtu mwenye mamlaka na...
  2. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mtu hajakuomba ushauri, wewe unamshauri, halafu hujui namna ya kushauri, nyambafu!

    Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUKIRUDI KWENYE CHIMBUKO LA MFUMO HUU TUTAONA MAONO YA NYERERE HAYAKUWA KUMJENGA MTU BALI KUJENGA TAIFA LENYE UONGOZI UNAOWEZA KUTENDA

    Tunapojadili leo kwamba Rais ana mamlaka makubwa hivyo Tanzania inahitaji Katiba Mpya ni muhimu sana kurudi nyuma na kujiuliza Kwa nini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichagua mfumo wa Rais mwenye mamlaka ya kiutendaji baada ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1962? Tanganyika ilipojipatia...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana adaiwa kutekwa na wasiojulikana kwa kumkasirisha binti wa kigogo katika mapenzi!

    Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Irene amesema mwanawe hana ugomvi na mtu yeyote na familia haijawahi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji mtu wa aina hii.

    ..aliyemrithi aliwaadabisha tiss wa huko uchaguzi ukamleta huyu, sasa naye anafanya sehemu yake, tz imekalia maigizo ya tiss kupitia ccm nchi inazama mstaafu anakuwa na watu wake ndani ya serikali na wanamtii kuliko hata huyo aliyesaini hati za uteuzi wao..Masisi alikataa huo ujinga wa mstaafu...
  6. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)softcopy pdf

    Nauza vitabu WhatsApp 0756704145
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akisema, "Mimi kama...", anamaanisha nini? Basi mzee mwenzenu yamenikuta 🤔

    Mimi kama... 🤔 Nilimchukia baba yangu baada ya kuniambia, "Mimi kama baba yako nina wajibu wa kukupa adhabu ukikosea...", mimi nikadhani labda yeye si baba yangu wa kweli. Leo asubuhi, baada ya simu yangu kulia kwa sauti ya juu kanisani, "mchungaji aliniambia, Mimi kama mchungaji toka...
  8. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mtu mmoja anakula sana lakini hana kitambi, mwingine anakula kidogo na ananenepa?

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu. 🤔 Watu wawili wanaweza kula chakula kinachofanana, lakini matokeo yakawa tofauti kabisa. Mmoja anakula wali, nyama, chipsi, soda, vitafunwa na hata kula usiku, lakini miaka inapita bado ni mwembamba na hana kitambi. 😂 Mwingine anajitahidi...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hatua sahihi za mtiririko rahisi wa kumuaminisha mungu mtu asiyeamini.

    Kwa wanaoamini mungu huu ni muongozo wa kuwafanya wasioamini mungu(atheists) waweze kumuamini mungu 1. Thibitisha kuna supernatural (nguvu kuu iliyo zaidi ya nguvu za asili) 2. Thibitisha hiyo nguvu kuu ni mungu tena mwenye nafsi na utashi (personal god) 3. Thibitisha huyo mungu anataka...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Mtu anayesema Maendeleo Hayafanyiki Anapotosha, Miradi Yote ya Kimkakati Inaendelea

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo wananchi. Kihongosi amesema kuwa watu wanaodai kuwa...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kaniambia nina Kichaa cha Ndoa, hii ni kweli ipo?

    Ingawa kanitukana ila nimejikuta ninacheka sana na kutaka kujua kama kweli kichaa cha ndoa kipo. Wewe uliyepo kwenye ndoa unafahamu nini kuhusu kichaa cha ndoa? Kilishawahi kukupata? Please share your experience.
  12. Uhovyoni

    JamiiForums Tanzania Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bashe Atunukiwa Tuzo ya Sera Bora za Mifumo ya Kilimo.Amedhihiridha Alikuwa Mtu Sahihi Wa Kusimamia Wizara ya Kilimo

    My Take Nilitoa ombi Kwa mamlaka la kumteua Makonda Wizara ya Kilimo lakini halijafanikiwa. Narudia tena kuwaombea wahusika watubadilishie Uongozi wpale Wizara ya Kilimo Kwa sababu walioko wameshindwa kuwalinda Wakulima na hatusikii tena ajenda za kuwalinda Wakulima Wadogo hususani kwenye...
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje NIT wanatoa Course ya HGV kwa mtu ambaye tayari ana leseni Class E??

    Binafsi ninafahamu ili upate leseni daraja E lazima uwe umesoma course ya HGV Sasa inakuwaje N.I.T ili usome HGV wanataka uwe na leseni class D Naona kama ni funny inakuwaje mtu uwe leseni husika alafu uende tena chuo ukasome wakati una cheti na leseni Class D? Naomba muongozo!!
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemshauri Samia kufanya safari za ndege DSM kwenda Urusi? Huyo mtu kama yupo, afukuzwe Kazi!

    Tunaomba,serikali ituambie imepata faida na hasara kiasi gani kwa ndege zetu kwenda urusi!
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mwenye miguu kama hii haruhusiwi kujiunga na jeshi ?

    Hii imekaaje kitaalamu
  17. bullbar

    JamiiForums Tanzania Tatizo humu kila mtu tajiri..ila ningewapa conection za wateja na namba zao!

    Haya mchongo huo hapo msije sema sijawasanua.
  18. min -me

    JamiiForums Tanzania Totozi kama hizi ni nouma

    Totozi kama hizi kama hauna inch za kutosha , bora uachane nazo ni upotevu wa pesa yako 🤔 Hizi ishia kuzilia nyero kwenye chudai tu , okoa kibunda chako kwa wivu mkubwa sana👇
  19. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Habari wakuu. Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya influencer, Kila mtu atafikiwa na Utawala Batili wa CCM

    Ni swala la muda.. Kila mtu atatoa mlio.. Walijua Machawa wapo sallama. Muuaji hana rafiki. Tuliwaasa, achaneni na CCM kwani washapoteza uelekeo. Akili za wanaccm sasa hivi ni kuua, kuteka, kubambikiza kesi, Vitisho, unyanyasaji na ufisadi. Watu walijua hii kitu inawahusu CHADEMA, sasa kila...
Back
Top Bottom