Kila mtu ana nafasi ya kuwa tajiri

Kila mtu ana nafasi ya kuwa tajiri

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,563
Reaction score
9,661
Nimeona jamaa anatuandikia nyuzi ndefu lakini ukiangalia hamna point hata moja nilitegemea nyuzi zake ziwe zinatoa suluhisho kwa kijana na mtu yoyote anayetaka kufanikiwa
Niliitegemea awaambie hivi.
1.Mtumishi wa serikali/Private usiache kazi ila fanya saving ili baadaye ufungue duka, miamala ama glocery

2.Mtumishi wa serikali piga kazi miaka mitano halafu chukua mkopo usiozidi milion 15 nunua mashamba na fungua biashara ya pesa(miamala) au ingia migodini na usijenge nyumba kwanza

3.Kwa unaye pambana jiwekee mfano ni fundi weka akiba zikiwa nyingi fungua ofisi uchwara tu utanishukuru mf.ofisi ya hardware/mbao

4.Vibarua fanyeni kazi kwa malengo mjitahidi kuishinda tamaa ukifikisha 2M nitafute nikupe byke

5.Mama ntilie endeleeni kupambana biashara ikichangamka jikusanyeni watu 5 mkachukue mkopo wa riba nafuu mkuze mitaji yenu kama hamna wazo nitafuteni nitawasaidia

6.Mtumishi wa serikali baada ya kujikusanyia pesa zako kwenye miradi yako jenga nyumba ya kuishi pia ya kupangisha ama fremu
7.Usisomeshe mtoto madarasa ya chini mpe sapoti akiwa juu

St.John Paul II ora pro nobis debris!!
 
Wasisahau kunywa bia
Safari lager nimemkumbuka marehemu kibonde na marehemu gardina G walikua na wimbo wao ule kunywa bia wakati kipindi kikiendelea kabla ya tangazo walikua wanapenda sana kuuimba ulikua unaisifia sana bia kipande kimoja walikua wanasema wakikutana mbinguni watakunywa sana bia inaingia jingle inasema Jahaaaaazi
 
If you are still Alive you can be a King,

Life is not a matter of chance but a matter of choice,
The secret of getting ahead is getting started.
 
Back
Top Bottom