mtu

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu bado anazipuuzia English medium schools?

    Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake Mtu anataaluma ya habari, lakini hawezi kuhoji Kwa kingereza lakin huyu mtu ana...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania HERVÉ FALCIANI: MTU ALIYEVUNJA UKIMYA NA KUVUJISHA KWA DUNIA MAJINA YA MAFISADI WANAOFICHA PESA ZAO BENKI YA USWISI

    Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi. Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr umeokoka au bado upo kwenye hii fani, kuna jambo nataka tumfanyie mtu mmoja humu ndani

    MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI Mtu wa vizinga secretarybird Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak tuachie masela kumsumbua full approach aloo 😂😂😂😂😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️ Niachen jaman msinikalipie NALUD...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo Man U wanawaonea Hawa Madogo wa Azerbaijan!

    Wanajibondea tu magoli. Team Haina mfungaji, goli Nne kila goli na mfungaji wake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa uongozi wa Jamii forums. Wekeni utaratibu mtu ukimuignore asiweze kuona nyuzi zako au comment zako

    Mijitu mipumbavu ambayo inatumia makalio kufikiri . Mijitu inayodandia mada hata kama hizo mada haziwahusu. Inatakiwa ukiiblock isiweze kuona nyuzi au comment zako.
  8. B

    JamiiForums Tanzania TIMU MAGHUFURI MTU MBAYA ( Tujikumbushe jinsi asali ilivyotamu

    1.Kigogo 2.Mboe 3.Zito 4.Shangazi Daaah, hii miamba ilimshambulia sanaa marehemu maghufur Cjui kwa sasa Nini Kimetokea. Asali tamu sana Mtume Kuna miujiza? Nini kimetokea ,,,,,,,>mama kajifungua bila ujauzito ..... Nawatahadharisha 1.Tusali sana Kila mmoja kwa dini yake
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Natamani ningekuwa na uwezo wa kumuombea dua mtu anipe hela ya chai

    Halafu na mimi ningeweza kuishi vizuri . Alikuwepo yule Kiboko ya Wachawi ambaye ukitaka tu kufanya appointment naye ilikuwa lazima umpe sh laki chache.
  10. min -me

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

    Kozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nesi na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu. C.c Kiranga
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anatangaza kwenye Social Media anakodisha Nyumba yake hafu anaiita Airbnb?

    Ili Nyumba/apartment iitwe Airbnb Apartment, ni lazima itangazwe kwenye official platforms za Airbnb (website au App), otherwise ni Nyumba ya kupanga tu. Sahivi ukiingia Insta, Facebook, TikTok watu wanageuza maghetto yao kua ya kupanga na wanayaita Airbnb, ukiwaomba link ya profile yao kwenye...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, eidha una akili au hauna. Hamna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, aidha unayo au huna. Hakuna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona picha ya mtu fudenge akiwa na majonzi.

    Mimi nilidhani mtu fudenge yeye ana moyo wa plastiki hasikii maumivu ya kifo kama wengiwe waliofiwa walivyokuwa wakililia vifo vya wapendwa wao na haki kulingana na vifo vya utata vilivyowakumba ndugu/marafiki/wazazi/watoto/wapenzi wao. Mtu fudenge alidhihaki na kusema eti kifo ni kifo tu watu...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kusema kuwa mwanamke akikasirika basi mwanaume ampe pesa na mwanaume akikasirika basi mwanamke ampe good sex

    Unaweza kuchukulia poa huu msemo Labda ukaona umekaa secular sana Ila mwanamke yoyote alie katika household ambayo kuna ukata mara nyingi ni mtu wa kuvuta vuta mdomo sana, alafu itokee bwana ake amemuudhi, bwana nae kapiga pini, alafu mdada akutane na vijana wa crown wenye uwezo wa kukidhi...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi kwani kutongoza/kutongozwa ni kosa kisheria kwa mtu juu ya miaka 18?

    Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi. Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.🚮
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Traffic wapewe silaha za moto au mtu mwenye silaha za moto ili kudhibiti watu waovu barabarani.

    Tufanye kama ilivyo kwenye nchi za wenzetu hakuna traffic asiye na silaha ya moto kwanza ukizingua tu chombo kinataifishwa au tail zinapasuliwa. Nashauri IGP aweke huu utaratibu kwenye Kila traffic station kuwe na watu wenye silaha za moto, hatupendezewi kuona traffic wakivamiwa na wauvu...
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Unamuonea huruma mtu kufiwa kufiwa na mumewe unakuta kumbe huyo bibi fudenge anashiriki mapenzi ya jinsia moja.

    Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia. Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Jaji Warioba anaendelea vizuri

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri. Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mungu hujificha asijulikane na kila mtu na hajiweki wazi kwa watu wote duniani wanafahamu ?

    Naona ingekuwa rahisi sana kama Mungu angejiweka katika hali ya kujulikana na kufahamika kwa wazi kwa watu wote waliowahi kuishi duniani bila kipengele. Suala la kwamba watu baadhi tu ndio hudai kumjua kwa imani katika roho na wengine wakienda mbali zaidi kudai ni manabii na mitume wake...
Back
Top Bottom