mtu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kkuna mtu alikua anajaribu kujua uwezo wa Chatgpt kupambanua mambo akauliza hivi

    Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi: Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa matumizi ya sukari. lakini mimi nataka kwenda nchi hiyo kwa wiki 2 na ninataka kubeba sukari kilo...
  2. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Tukienda kwa maudhui, falsafa na kutetea kwa ustadi kile anachokiandika kimantiki bila mihemuko, hakuna mtu humu anaemzidi hamiss77

    Katika hizi nyakati ambazo JF inapotelewa na vitu konki mwamba ndio amebaki wa mwisho mwisho. Wapo pia wana JF mahili humu ila kijana 77 ni kinara. Kongole kwake.
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja afariki kwa kung'atwa na nyuki eneo la Bweri, Musoma Mkoani Mara

    https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
  5. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mtandaoni kila mtu daktari, Figo Figo mna uhakika?

    Kupima kwenu kwa macho kunawaponza mzungu sio mjinga kuweka vipimo sio kila homa ni malaria
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Jiulize, hivi CHADEMA ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa kama yule Shehe.

    Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi. Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa, baada ya tukio la Temba, leo viongozi wote wa Chadema kuanzia Heche hadi Mkiti wa tawi wangekuwa...
  7. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Je, mtu anaweza kuishi bila marafiki?

    Baadhi ya watu huishi maisha ya peke yao. Je, hiyo ni afya au tatizo?
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

    Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda. Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Kiongozi kuwa Mhandisi na ubaya wa Kiongozi kuwa mtu wa Sanaa

    China is an engineers' country, but US and Germany are now lawyers' countries: former German chancellor By: Global Times | Published: May 04, 2026 04:01 PM "China is, as the US and Germany in the 19th century, an engineers' country. And now we are lawyers' countries," said former German...
  10. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji au mtu anayeifahamu Simanjiro DC ya huko Manyara naomba ABC zake

    Wakuu nimehamishwa kikazi na kupelekwa halmashauri ya wilaya ya simanjiro iliyopo mkoani manyara lakini ni sehemu ambayo sijwahi ata kukatiza Je sehemu hiyo ikoje kwa wanaoifahamu Kiuchumi Kiutamaduni Kijamii
  11. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi Mnaposema kuwa mtu hawezi kutajirika kwa kuajiriwa, huwa mnazungumzia kiwango gani cha utajiri?

    Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus Mashamba ya mazao ya chakula na biashara, Maduka ya nafaka, spare parts za magari au ata pikipiki nk Amejenga ana nyumba Kali Hadi...
  12. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wakristo tujengeni hoja hapa: Mchungaji akikutongoza ukamkataa ni laana? Alisikika mtu mmoja akisema

    Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini... Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtu ameamka tu akaandika "hezbollah anamchakaza israel vibaya mno". Mimi nafikiri ni wakati sahihi JF kuanzisha community notes ili kuuchamba uongo

    mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁 Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed. Itengenezwe community...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

    _Ooh anajifanya, _anatumia madawa yanayo mpa ganzi muda wote, _huyu ni spy huyu, _anajikuta wa maana hataki kuongea na watu,
  15. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Waheshimiwa viongozi, 2026-2035 ni muda wa ujenzi wa treni za katikati ya miji ili kuongeza uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja

    Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama. Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Why niteseke na pesa zangu? Yaani mtu asiye nazo anateseka na mimi ninazo nateseka pia?

    Ninatumua account ya bank moja ya kiduanzi initwa EXIM. Pembeni ya hiyo nimekuwa nikitumia NBC. Jana nmepata salary na nikaamua kutuma pesa akaunt ya NBC ili nitoe maana sina ATM Card ya EXIM. Huwezi amini tsh 700,000 mpaka leo inaonekana imekatwa Exim lakini haijafika NBC. Lakini nikiangalia...
  17. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyeandaliwa na Mungu vs Mtu aliyejiandaa au kuandaliwa na watu

    Wakuu, Kwenye mapito ya maisha unaweza kupitia mambo mengi ukifikiri imetokea tu kumbe Mungu anakuandaa na nyakati ngumu. Muogope mtu ambaye aliandaliwa na Mungu kuvuka nyakati ngumu. Tunajua makomandoo wa Jeshi lolote huandaliwa kukabiliana na nyakati ngumu. Lakini hawa huweza kuvumilia kwa...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tumekuwa na ndoto kama waafrika kwamba itakuja kutokea mtu mmoja wa kutukomboa lakini nasikitika kusema it will never happen

    UBINAFSI ULAFI UKANDA TAMAA UNYAMA UMALAYA WA KISIASA. Hivi ni vitu ambavyo vipo kwa kila mwanadamu ila kwa mtu mweusi ndio pumzi yake. Tulipata watu wachache ambao waliviweka hivi kando ila mkaishia kuwageuka nyie wenyewe na kuwaua. Mnakula vya watu kwa ulafi huku mkisingizia wazungu kwa...
  19. Red black

    JamiiForums Tanzania Silence is the best reply to a fool, ukiona mtu ni mjinga mpuuze

    Mjinga anatakiwa apuuzwe... Unakuta mtu anajibizana na fool na kurushiana matusi hadharani..sasa hapo wote tutawaona wajinga. #A fool is fool never change.
Back
Top Bottom