Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,589
- 6,463
Maneno huwa hayamtoki mtu bure ujue ni sehemu ya mawazo yake na moyo wake ulivyo. Ndioomaana ukisikia lugha za hatari kutoka kwa mtu chukua tahadhari naye mapema , mtu anapimwa kwa matendo na maneno yake.
"KINYWA CHA MTU KINANENA YALE YA UJAZAYO MOYO WAKE " YESU
"KINYWA CHA MTU KINANENA YALE YA UJAZAYO MOYO WAKE " YESU