insane
New Member
- Jun 9, 2026
- 4
- 14
Ipo hivi...
Kuna siku nilikuwa napita mahali nikamuona mtoto wa kike jina alikuwa skola nilikuja kumjua baadae ametulia kwao hio asubuh juani akawa ananiangalia sikumsemesha nikapita zangu lakini nikigeuka nyuma alikuwa bado ananiangalia basi mimi nikaachananae tu nikaendelea na mishe zangu.
Sikufilia labda hata kanipenda japo nilijua ni moja ya ishara lakini sikufikilia hivyo mimi nilijua ni kawaida tu Labda wazo baya lililoniijia chapu ni nimtongoze jambo ambalo ni kawaida kwa kila mwanaume ukiona tu pc uruke nayo, basi siku zikapita ikawa kila nikipita nikimkuta ataniangalia all the way kwasasa kabisa nikajua moja kwa moja kanipenda kilichobaki ni kuthibitishiana each other.
Kiukweli me ukinipenda pia huonesha upendo wa kweli ambao sijui hata utoka wapi yani mda wote ntakuwa nakuwaza waza tu pia huko nilikokuwa napita kwa skola naenda kuna dem alinionesha kunipenda kila nikitaka kumwambia nampenda kadogo kake kakike kakiherehere hako kanatokea nikakubwa tu na kenyewe hivyo mnaacha mnaunganisha story nyingine lakini siku moja nilifanikiwa kumwambia sema wakike wengine sijui wapoje toka nilipomwambia nakupenda akawa ananiogopa toka siku hiyo sikuwi tena kumshika hata mkono wakati kipindi hicho alikuwa ananilazimisha nimwambie nilikuwa natakaga kusema kipindi cha nyuma but anyway way tuachane na mabile huyu alikuwa anaitwa mabile. Turudia kwa skola issue ilibaki nimwambie tu nampenda maana kila kitu alionesha kama ananipenda.
Kuna siku kulikuwa na mechi ya simba na yanga usiku inshort kutoka nyumbani bila sababu ilikuwa ni ngumu kidogo sawa utatoka ila kwa haraka haraka ukiulizwa unaenda wapi huna la kujibu basi nikatoka hata wazo la kwenda kwa skola halikuwepo lakini katikati ya safari nikasema kwanini nisiende kwa skola kabla mechi haijaanza kweli nikaunga nikafika kwao sikumkuta nje ila nikikawa na uhakika yupo ndani kuna barabara ile niliyokuwa napita kipindi naenda job mpaka kumuona skola ila niliacha kwasababu nilimaliza kazi kule nikaanza kuipiga routes naenda narudi lakini dem hatokei.
Basi nikaamua kukaa sehemu moja tu bila majibu mpaka mpira ukakaribia kuanza na nikaona mda wa kuondoka umefika ile najiandaa tu kung'oa mtoto siakatokea nikamshitua akageuka akaniona akafanya kile kilichomtoa nje akarudi ndani kwakua ameshaniona route za kumwaga maji masafi hazikuisha ila sina uhakika sana kama alijua mimi ndiye yule niliyekuwaga napita asubuh kwao kwan ilikuwa usiku ila kulikuwa na taa ya kwao inayomulika upande wangu au labda kunawashikaji wengine tu wengi humwita the way mimi nilivyomwita ila alianza kuonesha uhitaji wa kuongea na mimi hatua ya mwisho akatoka na kikombe na kijiko akawa anakunywa uji huku kaegemea nguzo ya nyumba nilijua ni uji jambo yule ni wakishua kunywa uji jioni?, hatuwezi kujua what exactly was.
Sasa namuona amekaa tu pale tunaangaliana me nilitegemea atakuja huku niliko na yeye amekaza ametulia palepale mda ulishaenda na mechi inakalibia kuanza nazani ilishaanza kabsa sema mawazo ya mpira yaliisha baada ya kumuona mtoto aliyeonesha ananipenda na mimi nikafall mazima nikaona isiwe kesi nikamfata pale pale ili nimsalimie hata mazingira yakiruhusu nimuvute chemba ikiwezekana nimunyonye kabisa maana nilikuwaga namuona tu kwa mbali ngozi yake inavutia alishaganipandisha hisia kwa kumuangalia tu
Basi nikatembea kuelekea kwake kadem kale kana confidence hatari yani akaoneshi uoga wowote kananiangalia tu ninavyokuja yaani unaweza ukajikwaa hata sehem nzuri tu ya kutembea basi nikafika pale nikamwambia mambo ile kugeuka kushoto kwangu ulipo mlango nikatazamana na mama ake kumbe alikuwa ananichora tu mda wote nafika na ile mambo nilivyoitamka ilionesha bado kuna maongezi yanafata ila baada ya kumuona nikavunga kama lengo ilikuwa nimsalimie tu mwanae me nitembee zangu haijalishi kaitikia au hajaitikia nikamove
Basi ile nasogea kwa njia niondoke nikaona nimekaa position ambayo sionani na madam ikaniuma kuondoka bila kuongea na skola chochote nikamwita anaitika ila hageuki upande nilipo, yule maza huwa anamulinda sana mwanae kumbe nilipoondoka tu upande wake alikuja kuhakikisha kama nimeondoka situkakutanisha tena macho nikiwa namuita skola hapa na hapa amevaa dela ameegemea ukuta kwa kunyosha mkono juu mwingine kashika kiunoni
Ile namsalimia shikamo hakuitikia akaanza na kusema nikikuchukulia sheria?
Nikamwabia sijakuelewa madam
Nakuliza nikikuchukulia sheria? huyu nikikupa utammudu(kimalezi)
Nikasema mbona nilikuwa namsalimia tu kwani kunakosa kumalimia
Akasema huko ulikotoka umekosa wa kuwasalimia?
Lakini mimi nikasema madam me sikuwa na lengo hilo me nilikuwa naenda mpirani
Akasema kwaio hapa ndo mpirani?
Me nikaona kuendelea kujibizana na huyu maza nikumpandisha hasira nikifikilia huyu nimfanyakazi wa umma afu kituo cha polisi nijirani tu na hapa hivyo ni simu moja tu ndani nikamwambia huku nikiondoka maana huwezi jua kumbe nyuma yako mtu anakuvizia akukamate nikasema madam hivyo unavyofikilia sio mimi nilikuwa namsalimia tu nilivokuwa naondoka akaanza kucheka ile kucheka ya kuguna na skola pia akacheka, daah nikaona mission impossible.
Basi nikaondoka nikaapa sijikurudi tena huku kama ndo imeshakua hivi skola asijenifanya nikarudi tena sero afu ilikuwa siku hazijaenda sana toka one day nilale ndani hivyo nikaogopa kwenda kule lakini siku hazikupita sana kuna siku baada ya kutoka kazini nikaplan kabla sijaenda nyumbani nipitie kwanza kwa skola nikaone hata mazingira ya kule inshort iwe njia yangu ile ya kwenda home tena ukiwa kazini nyumbani unapaona pale ila unasema nipitie huku nikatokee kule nifike nyumbani
Basi nikang'oa ile nafika tu kwenye barabara ya mtaa wao nikamuona upande wa pili anakuja yani ni kama tunakutana sema yeye atakatisha kushoto nikaona nimuwahi kabla hajafika Junction kweli nikamuwahi alikuwa hajaniona ile ananiona tu utofauti ukaonekana machoni kidogo akawa muoga sasa anataka anipishe nikamvuta mkono nikaanza kuongea nae kiufupi hana upinzani wowote unamusogeza kifuan uanamkumbatia unamkiss basi nikawa namuelekeza pale jinsi navyompenda ila hajibu kakaa kimya tu basi nikaona nimuulize kwa njia ambayo itamfanya aiitikie tu. Skola je unanipenda mie?
Akajibu mmh (kukubali)
Unanitaka pia?. mmh.
Na unaniamini?. Mmh
Nakunilizia?. Mmh
Itaendelee....