mtu

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

    Wanabodi, Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda. Andamana nami...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umasikini si kilema angalia potentials za mtu

    Kuna dada alinihadithia alivyokutana na mume wake. Walisoma wote shule ya msingi enzi zile za ujamaa hakuna English Medium wote tulikuwa St Kayumba. Mume wake alikuwa anakuja shule na deli la Ice cream, nyumbani hali haikuwa nzuri sana na kila mtu alichangia alivyoweza. Mama aliuza maandazi...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana

    Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana. Leo bi mkubwa alitembelea kibanda kimoja kwa ajili ya kupata huduma ya kutoa salio,na alifanikiwa kutoa kiasi cha mia nane. Baada ya kupata huduma wakati anatoka katika eneo hilo kama hatua tano hivi, ghafla akatokea...
  4. Kasimba G

    JamiiForums Tanzania Nahisi nchi yetu pendwa sasa inatamani uchumi wa kizimbabwe Zimbabwe, uchumi wa kwenda sokoni na kapu la hela

    Nahisi nchi yetu pendwa sasa inatamani kabisa uchumi wa kizimbabwe Zimbabwe, uchumi wa kwenda sokoni na kapu la hela, uchumi wa kununua Raba milioni saba. Washangiliaji wasoaibu wala akili wanashangilia bado kama walo na usingizi wa pono wakisahau kuwa mifuko ya rambo ya kubebea hela za...
  5. Alvin A.

    JamiiForums Tanzania Watishie CCM huyu jamaa kila mtu atatoa tamko, na hapa povu litawatoka tu

    Hadi Lugola anaweweseka!! jamaa anawanyoosha balaa Huyu jamaa anawaumiza kichwa hadi leo ***Mtapata taabu saaana***
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TABORA: Mtu mmoja afariki baada ya kupokonywa hirizi zake

    Michael Paschal mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa Uhemeli Ndala, Nzega, mkoa wa Tabora, afariki baada ya kuporwa hirizi zake na polisi akifanyiwa upekuzi. Kijana huyo ambaye ni bodaboda alifikishwa kituoni mara baada ya kumkaba na kumchania sare CPL Lucas aliyekuwa katika majukumu ya usalama...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Siasa ya rushwa, utajili wa FEDHA na maudhui ya kutovunja misingi ya Maisha ya MTU mwingine

    Hakika kila mwanadamu anapenda kuishi MAISHA ambayo yanamipango ndani yake kuanzia level ya kuwa pekeyako. Tumeshuhudia watoa huduma wengi wakitekeleza maneno ya mwalimu Nyerere Kwa vitendo ikiwemo Ubepari, kutoa na kupoke rushwa, kuwa na vyumba vya Kipanya Kwa ajili ya kuzuia na kucontrol...
  8. super black Boy

    JamiiForums Tanzania Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

    Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola. Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri? --- Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu...
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa mke wa mtu sumu unasema unamaziwa haya sasa

  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

    ==== Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyefahamika kwa jina la Shaban anayeonekana kwenye kipande cha video akimtishia mwenzake kwa bastola kuripoti kituo cha polisi mara moja na kusalimisha silaha yake. Update 2. MTUHUMIWA AKAMATWA.
  11. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Aliyevujisha siri na kusababisha Al-baghdad kuuliwa ni mtu wa karibu na amelipwa $25 milioni

    Mzuka! Siku zote kikulacho ki nguoni mwako. Inasadikika aliyevujisha siri alipo gaidi boss wa ISIS Abubakar Al Baghdad alikuwa mtu wake wa karibu. Jamaa huyo ambaye ni mwarabu wa sunni huenda alichukua uamuzi huo kumsaliti Al Baghdad baada ya familia/ ndugu zake kuuawa na ISIS. Kabla...
  12. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

    Jana nilipokea simu kutoka kwa rafiki angu mmoja (wa kike) akaniita CONTROLA naomba uje home nisaidie kufunga TV yangu ukutani, nikamtania nikamwambia ''naona umejikakamua umevuta flat, au siyo?'', akanichekea pale basi. Nikamalizia mambo yangu then nikaenda nikamkuta anaangalia TV. Kweli...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ile route ya kupeleka nyama Dubai iliishia wapi?

    Nakumbuka kulikuwa na safari moja ambapo Dreamliner ilitumika kupeleka nyama Dubai (route ya majaribio) na tukaambiwa route hiyo inaweza kuendelea iwapo itaonyesha kuleta faida. Swali langu ni je,route hiyo imekufa? Route ile ilifanyiwa utafiti wa kutosha kabla hata ya kufanya safari ile ya...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtoto mpya ana raha yake asikwambie mtu

  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, mtu mweupe lazima aendelee kuwa tajiri na mtu mweusi abaki kuwa masikini

    Ameandika Zitto kupita twitter: Russian leader boasts he has signed military agreements with 30 African countries this week - accompanied by deals for military helicopters, fighter jets and armoured vehicles Tweet ya Millard Ayo nayo inasema hivi: “Ndege nyingine nne zitaendelea kuja nchini...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huku ‘ Mwarabu ‘ akiwa tayari ‘ Kumbikiri ‘ Mtu huko Mwanza Jumapili tayari Mabondeni Mafuriko FC wameshaanza ‘ Visingizio ‘ vyao

    Kocha wa Yanga sc amesema moja kati ya vitu ambavyo wachezaji wamekosa ni malengo.. . “ Inatakiwa toka mwanzo wa msimu mchezaji aweke malengo kwamba mimi kama kiungo lazima nitoe pasi za mwisho zaidi ya kumi na kufunga magoli zaidi ya kumi ktk msimu. Lakini ukiangalia wengi wanavyocheza ni kama...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya na TBS wana taarifa kuhusu tangazo la ‘kitapeli‘ la Dawa ya Kumfanya Mtu aachane na Ulevi?

    Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika...
Back
Top Bottom