Nafaka ni eneo Pana sana na limewapa mafanikio watu wengi sana (wenye mitaji mikubwa).
Nimeona mijadala mtu anasema ana mtaji wa 3million afanyaje? Wadau wanatiririka auze nafaka, sasa kwa mtaji wa million 3 na ushindani uliopo chance ya huyu kijana kutoboa iko wapi?
Let's say amepata eneo...
Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu.
Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
kuna baadhi ya familia au sehemu, kama huna pesa huonekani kabisa kama mtu; uwepo wako hauna uzito na sauti yako haina maana. Pengine unaweza ukatoka safari ndefu ya mbali na yenye uchovu, lakini usichinjiwe hata jogoo wa kukukaribisha, wala usipokelewe kwa furaha. Hakuna anayejali afya yako au...
Ogopa MATAPELI sijasaini LABEL yeyote nipo kwenye Label yangu ambayo taitambulisha hivi karibuni 7 october.
Hii ndo siku inshaallah taweka wazi, picha ya MSANII, jina la msanii, na jina la label yangu, itafatiwa na ufunguzi wa mitandao ya KIJAMII.
November 6, nitatambulisha rasmi ep yangu ya...
Hivi karibuni imeingia challenge maalum ya AI inayobadilisha picha yako ionekane kama ya miaka ya 1980
Inaweza kuitwa “AI 80s Challenge" au “1980s AI Photo Challenge
Upumbavu mtupu huko WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii sio madingi, mamaza sio majanja wote ni 80s challenge
Aibu utaona...
Kumekuwa na trend ambayo inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii watu wakipost picha zao walizo edit kwa Akili bandia (AI) zikiwaonyesha wakiwa miaka ya 80's .
Shida haijaanza leo, bali imeibuka pale unapomchukulia mtu kwa heshima zote kama mtu wa busara au kaka wa mfano, kisha ghafla...
IDENTITY YA MTU — WEWE NI NANI HASA?
Swali linaonekana rahisi:
“Wewe ni nani?”
Jina lako? Mwili wako? Kumbukumbu zako? Personality yako? Au kuna kitu kingine kinachokufanya uwe wewe?
Twende deep.
Fikiria umeingia hospitali na kuna mtu anayefanana nawe kabisa.
Ana DNA yako, uso wako...
Niaje wakuu?
Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni.
Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa...
Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake
Mtu anataaluma ya habari, lakini hawezi kuhoji Kwa kingereza lakin huyu mtu ana...
Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi.
Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.