Sababu bahati mbaya sasa hivi sisi wengi tuna mkwamo. Unakuta bosi ndio kama mimi wa miaka 70, mtoto kazaliwa 92, 95... Mimi nikifika pale, kwanza naangalia: "Wewe umevaa vipi sasa?" Si kitu cha kwanza ulivyovaa tu? Wewe unaambiwa sasa hivi unaenda ofisini huwezi kuingia na jeans, huyu umeona...
Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.
Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa
Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
Kuna magonjwa ambayo watu wengi huyaficha kwa sababu ya aibu, unyanyapaa (stigma), au utamaduni, lakini wanatumia pesa nyingi kuyatibu kwa siri:
Magonjwa ya zinaa (STIs) na uzazi:
Kaswende (syphilis), Kisonono (gonorrhea), Klamidia – watu wengi hawapendi kujulikana wanaumwa
HIV/UKIMWI – bado...
Je umewahi kujiuliza kwanini hujawahi kuanguka chini sakafuni kutoka kitandani ? Hata kama ungekuwa una usingizi mzito kiasi gani ikifika wakati wa kujigeuza unageuka tu!!
Jibu hili hapa!!
Binadamu haanguki kitandani akijigeuza kwa sababu ubongo hauzimi kabisa. Mfumo wa ndani wa proprioception...
[Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani
[Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake
[Luk4:6]Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari...
ujumbe umejificha kwa kelele nyingi hakuna flow nzuri , mtu rahisi sahau kwa ajili ya kelele
Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka
post ni ndefu balaaaaa
Anachoongea kwa maandishi
"Na nikuambie siri ya watu wanaorudi katika maisha yako. Wanao rudi au unaokubali kurudi. Kwanza, lazima ujuwe kwamba katika level ya watu kudharaulika, wewe uko kwenye level ya deki hiyo. Au ile bamba tunayoweka mlangoni kabla hatujaingia ndani tunafuta miguu yetu tu...
Kwenye hii dunia vitu vingi vimeumbwa viwili viwili: binadamu, wanyama, wadudu
Hata kwenye tabia zipo nzuri na zipo mbaya
Watu wapo wema na wapo wabaya
Hapa sina maana ya muonekano wa mtu, I'm talking about character, kwa sababu tabia yako ndiyo itatuambia wewe ni nani, na tabia yangu ndiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha...
Ndiyo kelele ni za maskini, Ila wenye pesa hawapigi kelele endeleeni kunichokoza
Kelele zinapigwa na wanavyofanya
Mi si tajiri na si tajiri sana ila ka bilion 2 sikosi kwenye majumuisho yangu
Siko vibaya sana
Nasema haya makusudi,
Ninyi ndugu zangu, kwanza dunian hakuna mtu maskini ni...
Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho...
Kwa mfano kwa huu mwaka tu hii simu Ni ya 20+ nikiwa na kitu changu mtu akiniuliza tu anipe bei gani huwa namuuliza yeye anatoa bei gani.
Kwa mfano Kuna siku niliuza simu nikaweka line mfukoni.
Je? Na nyinyi huwa mnafanyanje mtu akikuuliza hicho kitu chako akutoe ngapi?
Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na...
Kama ulikua hujui ni MTU GANI HAPA TANZANIA AKIONGEA KITU HADANGANYI wacha nikufahamishe;-
Mtu ambae akisema kitu haongopi ni DUDUBAYA,
Huenda ukabisha kuhusu hiki ninacho kisema,
Kwasababu watu wengi humchukulia DUDUBAYA kama mvuta bhangi na mtu wa hovyo,
Lakini ukweli ni kwamba...
Daaah naona mwamba hayuko sawa baada ya kwenda kutibiwa India anamchukia Kila mtu .....Kwa sababu hakuchangiwa ......na saizi anaona Kila mtu aliye mbele yake ni adui 😂😂😂
Je yeye amewahi toa msaada Gani
Nb Dudu baya, yu bela wochi yua back😂😂
Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi...
Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea.
Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani na msumari wa nchi 6. (Misumari tulikuwa tunatumia kucheza mchezo unaitwa domeka) Mnachora jedwali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.