Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
39,445
Reaction score
25,467
Ndugu zangu Watanzania,

Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.

Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha kunyongwa kwa Mtu yeyote yule aliyehukumiwa adhabu ya kifo. Rais Wetu Anapenda na kuthamini sana haki ya kuishi kwa kila mtu. Rais wetu ndiyo Maana amekuwa akisisitiza utii wa sheria na watu kuishi kwa upendo na amani ili watu wasijiingize katika matendo na Vitendo vinavyoweza kuwatia hatiani.

Ni Katika Muktadha huo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa rai kwa watanzania wote kusameheana na kumaliza mambo kwa njia ya mazungumzo badala ya kujichukulia sheria mkononi.

Haya yote yanatokea kutokana na ucha Mungu alionao Rais wetu Mpendwa. Sheria inamruhusu kuidhinisha Mtu kunyongwa baada ya kupatikana na hatia mbele ya mahakama.

Lakini Rais Wetu Mpendwa Kutokana na Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyomjaa Ndani yake na kuliishi Neno la Mungu ambako kumekuwa sehemu ya Maisha yake imemfanya kwa muda wote aliokaa ikulu kushindwa kutekeleza jambo hilo .

Tuendelee kuyazingatia maneno ya Rais wetu Mpendwa ambayo amekuwa akituhusia watanzania kuishi kwa amani ,umoja na upendo na kuacha kujichukulia sheria mkononi pamoja na kuacha kujihusisha na Vitendo vya uhalifu na kihalifu ili kutoingia katika matendo ya jinai.

Tunapotofautiana tufanye mazungumzo,tufanye kazi halali zenye kutupatia kipato , tuepuke Vitendo vya kihalifu na uhalifu , tuache kujichukulia sheria mikononi na kuacha kutunza mambo moyoni. Tusitumie hasira katika kufanya maamuzi .

Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na kuendelea kumpatia ushirikiano wa kutosha pamoja na kuendelea kumuombea Afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Rais wetu Mpendwa ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tuliyopatiwa . Hatuna budi kujivunia zawadi hii na kuitunza kwa wivu mkubwa sana .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
FB_IMG_1783927668104.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.

Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha kunyongwa kwa Mtu yeyote yule aliyehukumiwa adhabu ya kifo. Rais Wetu Anapenda na kusamini sana haki ya kuishi kwa kila mtu. Rais wetu ndiyo Maana amekuwa akisisitiza utii wa sheria na watu kuishi kwa upendo na amani ili watu wasijiingize katika matendo na Vitendo vinavyoweza kuwatia hatiani.

Tuendelee kuyazingatia maeneo ya Rais wetu Mpendwa ambayo amekuwa akituhusia watanzania kuishi kwa amani ,umoja na upendo na kuacha kujichukulia sheria mkononi pamoja na kuacha kujihusisha na Vitendo vya uhalifu na kihalifu ili kutoingia katika matendo ya jinai.

ama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.

Got bless you Mama 🙏
 
Idadi ya watoto wa wanawake wenzake aliowaua huyo mamaako! October 29-Nov 2...wanapita idadi ya wafungwa wote waliohukumiwa kunyongwa kabla na hata baada ya uhuru!
 
ana uhakika hata kama anasaini chochote? yule mzee asiyejitambua biden wa USA walikuwa wanamsainisha tu wahuni mambo yanaendelea ...
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.

Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha kunyongwa kwa Mtu yeyote yule aliyehukumiwa adhabu ya kifo. Rais Wetu Anapenda na kuthamini sana haki ya kuishi kwa kila mtu. Rais wetu ndiyo Maana amekuwa akisisitiza utii wa sheria na watu kuishi kwa upendo na amani ili watu wasijiingize katika matendo na Vitendo vinavyoweza kuwatia hatiani.

Ni Katika Muktadha huo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa rai kwa watanzania wote kusameheana na kumaliza mambo kwa njia ya mazungumzo badala ya kujichukulia sheria mkononi.

Haya yote yanatokea kutokana na ucha Mungu alionao Rais wetu Mpendwa. Sheria inamruhusu kuidhinisha Mtu kunyongwa baada ya kupatikana na hatia mbele ya mahakama.

Lakini Rais Wetu Mpendwa Kutokana na Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyomjaa Ndani yake na kuliishi Neno la Mungu ambako kumekuwa sehemu ya Maisha yake imemfanya kwa muda wote aliokaa ikulu kushindwa kutekeleza jambo hilo .

Tuendelee kuyazingatia maneno ya Rais wetu Mpendwa ambayo amekuwa akituhusia watanzania kuishi kwa amani ,umoja na upendo na kuacha kujichukulia sheria mkononi pamoja na kuacha kujihusisha na Vitendo vya uhalifu na kihalifu ili kutoingia katika matendo ya jinai.

Tunapotofautiana tufanye mazungumzo,tufanye kazi halali zenye kutupatia kipato , tuepuke Vitendo vya kihalifu na uhalifu , tuache kujichukulia sheria mikononi na kuacha kutunza mambo moyoni. Tusitumie hasira katika kufanya maamuzi .

Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na kuendelea kumpatia ushirikiano wa kutosha pamoja na kuendelea kumuombea Afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Rais wetu Mpendwa ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tuliyopatiwa . Hatuna budi kujivunia zawadi hii na kuitunza kwa wivu mkubwa sana .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mavi ya mama?
 
Back
Top Bottom