mtu

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliniambia kuwa hizi dola trillion 2.6 ambazo Afrika ilipokea kama msaada tokea mwaka 1960 ndizo zilizo changia Afrika kuwa ya kiduanzi zaidi

    Picha imejitosheleza maelezo
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo watu wa dini huwa wanaamini na kuyatetea mtu mwenye fikra huru unabaki kushangaa tu.

    Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa 1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao. 2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa. 3. Kuteua...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

    Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama. Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi. " Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mtu unajua destiny yako kadri unavyoishi

    Kwanza kabisa nipende kujitambulisha, You can call me King of hearts ♥️ Mimi ni mgeni humu(ila ni wenyeji pia) Nimekuja kugundua, kitu kimoja na nitatoa mfano hai Mtu hujua yeye ni nani, sio kwa maamuzi binafsi bali ni kwa kuishi na kufuata kile roho yake inamwambia, sio kile walimwengu...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wanawake Acheni Umalaya jamani, Palipo na Hazina ya Mtu, ndipo palipo na Moyo wake . Kama Jamaa anakuhudumia Kila kitu, Siutulie?Mtaendelea kufa

    Dunia na Kila kitu vimebadilika. Watu hawaogopi Jela wala Kufa. Mtauliwa sana !!
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ila waafrika bwana!, mtu anaweza kugeuka kuwa paka ili asumbue watu usiku ila hawezi geuza makaratasi yakawa pesa

    Which is which
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapokataliwa na mwanamke usiumie wala kujiona hufai. Kisaikolojia Wanawake wamebobea kufanya bad decisions

    UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri siri nyingi nilishakupatia. Na hii ni mojawapo. Kisaikolojia mwanamke ni kiumbe ambacho kimebobea...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

    Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa. Endelea... Freeman Mbowe. Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni isiyo ya kawaida ya kumchafua kutoka kwa baadhi ya wanachama, viongozi...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utawala wa JF, pale inapokuja mtu kupost picha ya mfanya tukio au mhanga wa tukio ni vyema picha iwe yake mwenyewe na sio ikiwa na watoto wake wadogo

    Huu ndio utu. Hii ndio ethics Sio wema kabisa watoto hawa wawe exposed na kuwa targeted. Sio kila mtu anakili ya alfajiri, watu vichwa vyao vimejaa giza. Maxence Melo Cookie Payge Active 255Fixer
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Mtu anayesema 'Katiba haileti chakula mezani' ni mjinga na mpumbavu

    Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu. Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali. Katiba ndiyo...
  11. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Tunatimiza mwezi sasa hakuna kisa cha kutekwa mtu...

    Angalau tusherekee kama taifa kutimiza mwezi mmoja bila kuskia taarifa za kutekwa kwa raia wa kitanzania..... Hongereni sana vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha ulinzi...
  12. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyetenda dhambi kubwa duniani kama aliuegundua kuweka sponji kwenye sidiria.

    Yaani, ukiwa pale mashati bar njia panda ya mbweni huwezi kuamini macho yako. Dah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge. Nawasilisha
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya mtu pesa ya Twanga pepeta

    Hii ngoma ya dansi asee walio itunga walitisha .. binafsi kwangu itabaki kuwa ngoma Bora ya dansi . Hili goma kwa mtu anayejua ilitoka mwaka gani naomba anijuze ... Maana ni kitambo sana nikiwa kid nimeisikia redioni. https://youtu.be/iqTgo8AI7OQ?si=D3k9s4A_AZvggG5L
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Msiogope, ni wanandoa au wapenzi wachache sana huwa wanauana

    Tanzania mauaji kati ya wanandoa, wapenzi au ndugu wa karibu kwa mwaka ni kama watu 300 tu nchi nzima, hiyo ni sawa na wastani watu 10 tu kwa mkoa mmoja kwa mwaka mzima. Ukiangalia takwimu hili ni jambo ambalo hata halipaswi kusumbua kichwa na kusababisha vijana na watu wazima kuandika nyaraka...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sisi Watibeli hatuoni ajabu kusikia mtu katolewa maini kisa kutaka mali zisizo zake kwa kisingizio cha kuwa ni mke/mume

    SISI WATIBELI HATUONI AJABU KUSIKIA MTU KATOLEWA MAINI KISA KUTAKA MALI ZISIZO ZAKE KWA KISINGIZIO CHA MKE/MUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli moja ya mambo ambayo tunajua mtu akiyafanya ni haki yake kuuawa Bila kujali sheria za nchi au za dunia za wakati husika zinasemaje...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki Chato: Mamba aliyekamata mtu anatishia maisha watu, mbunge Maghembe yupo busy na biashara yake ya mabasi.

    Kuna shida kubwa sana ya maji Chato. Maji hayatoki kwenye mabomba. Upatikanaji wa maji ni wa shida sana. Mbnge wa Chato Kasikazini yupo busy na biashara yake ya mabasi. Wananchi wanaenda kuchota maji ziwani akina mama na akina baba wanaenda kuchota maji ziwani. Kuna mamba alikamata mtu ambae...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Jipange leo kwa ajili ya kesho na bima ya Maisha

    Tunaweka mipango kwa ajili ya kesho, kujenga nyumba, kununua gari, kuanzisha biashara, kusomesha watoto na kuweka akiba. Lakini kuna swali moja muhimu ambalo wengi wetu tunalisahau: “Kama kesho sitakuwepo au nitashindwa kufanya kazi kwa sababu ya jambo lisilotarajiwa, familia yangu...
  18. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana mtu ulieweza kumwambia nakupenda na akakukubalia na ukawa mwingi wa furaha lakini mtu huyo huyo leo unainukua pisto kumchapa risasi

    Yeremia 17:9, "Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?"
  19. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo: Maisha, Imani, utajiri na urithi wa mtu aliyeishi kwa kuwagusa wengine

    Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu mbalimbali za Afrika. Chivayo, aliyekuwa na umri wa miaka 43, alifariki katika ajali ya helikopta nchini...
  20. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Humu ndani kuna mtu nampenda nisaidieni kumwambia

    Mimi sio domo zege ila nahisi kawahiwa
Back
Top Bottom