Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,828
Reaction score
57,392
images (4) (4).jpeg

Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea.

Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani na msumari wa nchi 6. (Misumari tulikuwa tunatumia kucheza mchezo unaitwa domeka) Mnachora jedwali chini halafu mnakuwa mnacheza huo.

Dogo katoka huko na msumari wake akaja akachomeka kwenye cable halafu ilikuwa on. Aisee ile shoti aliyopigwa yule dogo nashindwa hata kuelezea maana alinasa akawa analia huku anakata viuno na ile taharuki iliyokuwepo nikawa namuangalia nashindwa hata la kufanya.
 
We naonaga unaandika upo Mbinga, na hili tukio lilikuwa Songea kipindi hicho kulikuwa na umeme wa genereta
Nazikunbuka nyuzi zako za nasaha kaka ,ikafika mahali nikakuahidi kukupambania mpaka walau upate doctorate ila isivyo bahati niliowategemea wote niliwakosea hivyo ni maadui sasa .

Anyway nimeitumia hiyo cable ,sina kumbukumbu ya kupigwa nayo shoti ila nachokumbuka niliwahi kata huo waya wake ili nikamtembezee kipigo mwamba aliymletea za kuleta dada yangu .

Nilitembeza kipigo kwa wale mafala ila na mimi mbabe wangu nikakutana naye karume ,waya nikiwa nishatupa akanipiga kama ngoma ikabidi kesi aongezwe baba mkubwa maana bila hivyo angeniuwa yule jamaa
 
Kuwa na subira Mkuu hiyo doctorate yangu iandae kabla ya 29 October unipe. 😃😃😃
 
Samahani mkuu nje ya mada...
Nawezaje kumjua usalama wa taifa..? Kupitia mada zake humu jukwaani
Oyaa mdogo nimerudi alhamis , ijumaa nikapita mitaa yako sikukuona kuna matilio fulani nilikuwa naitafuta 🤣
Usikate tamaa lakini ile idea yako jamaa aliwapa watu wakapiga ile kazi
 
Oyaa mdogo nimerudi alhamis , ijumaa nikapita mitaa yako sikukuona kuna matilio fulani nilikuwa naitafuta 🤣
Usikate tamaa lakini ile idea yako jamaa aliwapa watu wakapiga ile kazi
Na ile project yako vipi ambayo mimi niliacha ndala 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom