mtu

  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kama dini yako inakufundisha kuwa kuua mtu kunaweza kukupeleka mbiguni basi tambua haupo kwenye dini bali upo ndani ya CULT

    CULTC usually means a group with strong devotion to a particular leader, belief, or ideology, often involving unusual or extreme practices.
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la mtu kupenda kula vitu vilivyooza yaani kula MIZOGA kitaalamu linaitwaje?

    Naombeni kwa anaefahamu anitoe tongo tongo hapo. Maana kuna jamaa yeye hawezi kula kitu hai anapenda kula vitu vilivyokufa na vilivyooza, mfano nyama za mizoga mizoga ndio anapenda kula, mahindi yaliyooza, mchele uliooza ndio anapendelea, matunda yaliyooza, nk hapendi kula vitu visivyooza au...
  3. R

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

    UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wazo lako linaweza kuwa Mwanzo wa Mafanikio ya Mtu mwingine

    Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji, au kulipeleka kwenye soko kabla mwenye wazo hajafanya hivyo. Kuna kosa ambalo watu wengi wenye...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mtu Malaya watu wanamuita kicheche?

  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Ni Hukumu ya Kihistori Kati ya UOVU na WEMA.!!
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Atoweka tangu Mei 12, 2026, mke aripoti Polisi, adai kuna mtu amemwambia mumewe ametekwa na “Mtu Mkubwa”

    Mariam Vincent Mahimbo, mkazi wa Buza, Chama Yombo, Temeke amekuwa akimtafuta mume wake, Ally Nanjasye kwa zaidi ya miezi mitatu tangu alipoondoka nyumbani Mei 12, 2026, baada ya kupigiwa simu na dereva wa bodaboda aliyemweleza kuwa alikuwa na kazi ya kwenda kuiona. Mume ambaye alikuwa...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Eti kuna mtuhumiwa anajaribu kuukana ukweli huu ambao ni wake mwenyewe

    hivi anatuanaje kwanza? Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70? Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others? You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaweza ishi mikoani au wilayani na akapata teuzi

    Baada ya kuona uteuzi wa kadogosa , nimejiuliza hivi huku wilayani na vijjijini Kuna shida gani,Tangu nimezaliwa Hadi nafika umri huu ,sijawahi kuona mbena,mkinga, mhehe nk anaishi jombe kateuliwa nafasi yoyote kubwa huko serikalin,what I know wapo watu wa asili ya huku mikoani lakini makazi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KUNA MADHARA YOYOTE ENDAPO MTU ATAAMUA KUACHANA KABISA NA SUKARI YA VIWANDANI PIA KUACHANA NA MATUNDA YENYE SUKARI

    Naomba kufahamishwa kwa upole sana.ahsante
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa serikali na nchi kumfungia kufanya sanaa mtu anayepambana kurekebisha hali mbaya iliyopo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.

    Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya. Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya. Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya. Hii la...
  15. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Nini huwa sababu, au ni kipi kinapelekea mtu kusema: Ujue mimi mtu fulani simkubali wala nini! Ukimuuliza why? hana sababu Kwa kifupi, yeye anadai tu hamkubali tu Hivi hili linawezekana vipi? 🤔 Yaani mtu usimpende au usimkubali bila sababu? Au sababu ipo ila imejificha kiasi kwamba hata...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu ana namba ya simu ya Dudubaya. Nataka nimpatie Mchango Tsh 2,000,000

    Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita. Mimi namuunga mkono na nitamchangia tsh 2,000,000 kwenye hiyo fine. Asiache kuyabagaza hayo machoko. Ni ya bananga tu wakati wote bila...
  18. Billion Dolar

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

    Habarini, nimejiunga na forever living, na sasa ni manager, ila mda wa kufanya hizi biashara mm sina. Nlijiunga kwa ajili ya matumizi yangu tu. Ila naona kama kuna fursa ya kupiga hela. Natafuta mtu mwenye uzoefu na biashara ya networking.
  19. lord atkin

    JamiiForums Tanzania AI: Mapenzi ya jinsia moja siyo jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi

    Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja: Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na mapenzi ya jinsia moja) sio jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi. Wataalamu wa afya ya akili na...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Shakira: Naona siwezi kupata mtu sahihi wa kunioa kwasasa

    Mwanamuziki maarufu duniani kutoka Colombia, Shakira (49), ametangaza kuwa hana matumaini ya kuingia tena kwenye ndoa au kupata mwenza sahihi wa kuanza naye maisha mapya, akitaja umri wake kuwa miongoni mwa sababu kuu zinazofanya jambo hilo kuwa gumu kwa sasa. Shakira, ambaye ni mama wa watoto...
Back
Top Bottom