Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,628
- 15,742
Umeanza ubishi na majidai?Kwa nini hupendi ushauri na unachagua kwa kushauriwa?tukipata matatizo mengine pia muwe mnatoa ushauri ...sio mtu ananunua gari na anaishi kwenye nyumba za national housing unaanza kupiga kerere sijakuomba pesa ya kodi, na pia naweza nisimiliki nyumba lakini nikamiliki vitu vyenye hamani zaidi ya hiyo nyumba
Kibongo bongo nyumba mhimu chieftukipata matatizo mengine pia muwe mnatoa ushauri ...sio mtu ananunua gari na anaishi kwenye nyumba za national housing unaanza kupiga kerere sijakuomba pesa ya kodi, na pia naweza nisimiliki nyumba lakini nikamiliki vitu vyenye hamani zaidi ya hiyo nyumba
upendo wa kinafiki....kwanini wasitafute zao ili wafanye hayo wanayonishauriNi upendo tu.Hawapendi usumbuke mara zote mbili/dabalidabali.Yaani uumie kwenye kutafuta halafu uumie kwenye matumizi tena?Hapana.Siyo utu huo.Lazima ushauriwe tu.
sihitaji ushauriUmeanza ubishi na majidai?Kwa nini hupendi ushauri na unachagua kwa kushauriwa?
Umeanza ubishi ma majidai?Kwa nini hupendi ushauri na unachagua kwa kushauriwa?tukipata matatizo mengine pia muwe mnatoa ushauri ...sio mtu ananunua gari na anaishi kwenye nyumba za national housing unaanza kupiga kerere sijakuomba pesa ya kodi, na pia naweza nisimiliki nyumba lakini nikamiliki vitu vyenye hamani zaidi ya hiyo nyumba
upendo wa kinafiki....kwanini wasitafute zao ili wafanye hayo wanayonishauri
Haya.Ukikwama mbeleni usiseme jamii yako haikupendi.sihitaji ushauri
Usiwaoneshe kama umezipata au waepuke kwa kadiri ya uwezo wako.Hukunishauri kuzitafuta, usinishauri kuzitumia
Wao ndio wanapaswa kujua mipaka yao Mkuu.Usiwaoneshe kama umezipata au waepuke kwa kadiri ya uwezo wako.
hizo akili ziwasaidie kutafuta pesatukipata matatizo mengine pia muwe mnatoa ushauri ...sio mtu ananunua gari na anaishi kwenye nyumba za national housing unaanza kupiga kerere sijakuomba pesa ya kodi, na pia naweza nisimiliki nyumba lakini nikamiliki vitu vyenye hamani zaidi ya hiyo nyumba
Kuna kiwango ukifikia ngumi kujificha, tunajificha na hizi hizi laki 2,3, milioni.. ipo mfukoni kama huna kitu, lakini mzee milioni 200, 500 huko ni ngumuUsiwaoneshe kama umezipata au waepuke kwa kadiri ya uwezo wako.