Anahitaji mtu wa masoko na mauzo

Anahitaji mtu wa masoko na mauzo

Papai Yule

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
10
Reaction score
16
MAPADA SOAP LTD
NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko
IDADI: Nafasi moja (1)
MAHALI: – Dar es Salaam

MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa kushawishi wateja wapya pamoja na kuhudumia wateja waliopo.

SIFA ZA MWOMBAJI:

Kiwango cha elimu: Cheti au Diploma katika masoko, biashara, au fani inayofanana.

Awe na uwezo wa kuendesha vyombo vya moto.( Pikipiki, Toyo , gari)

Uzoefu wa kazi: Miaka 1 hadi 2 katika mauzo na masoko.

Awe na mawasiliano mazuri na muonekano wa kitaaluma.

Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kufikia malengo.

Awe tayari kujifunza na kuendana na mazingira ya kazi kwa haraka.


MALIPO:

Mshahara: TSh 300,000 kwa mwezi

Posho ya chakula: TSh 2,500 kwa siku

JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Tuma CV yako kupitia:
Email:mazingirapacha@gmail.com
Au wasiliana nasi kwa simu: +255 765 180 704

Mwisho wa kutuma maombi: 28/07/2026
 
Ongeza mshahara huo vijana wachape kazi
 
Back
Top Bottom