Kuna mtu amewahi kupendwa na demu kama mimi?

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,542
Reaction score
9,626
Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula.

Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana chuoni tukajikuta tunatabasamu nikasimama akasimama tukasalimiana tukaulizana majina na namba.

Basi nikawa mwenyeji wake nikampa ABC za chuo na maisha ya mji kasoro bahari, baada ya mwezi mmoja tukaanza kujamiiana😋 Kalikuwa kananipenda sana hakakuwahi kuniomba hela labda nikape mimi. Nilienjoy sana penzi la mtoto wa kichagga. Najua yuko humu na anaijua hii id😂

Baada ya mimi kumaliza chuo nikaenda Arusha, wakifunga chuo lazima aje kwanza arusha tukae then anaenda Marangu.

Kwasasa sote tunamaisha yetu ila tunawasiliana na kuna elements za upendo bado zinatawala nivile tuna maadili tu.

Amehusika sana kwenye kunifundisha biashara ya hardware. Tumekipa kisogo kilimo tunafanya biashara.

UKITAKA TRUE LOVE OA MCHAGGA.
 
Mkuu mpaka leo nimetimiza miaka 70 bado napendwa tu na ma-binti, mashangazi na wamama.
 
Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula.

Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana chuoni tukajikuta tunatabasamu nikasimama akasimama tukasalimiana tukaulizana majina na namba.

Basi nikawa mwenyeji wake nikampa ABC za chuo na maisha ya mji kasoro bahari, baada ya mwezi mmoja tukaanza kujamiiana😋

Kalikuwa kananipenda sana hakakuwahi kuniomba hela labda nikape mimi.

Nilienjoy sana penzi la mtoto wa kichagga. Najua yuko humu na anaijua hii id😂

Baada ya mimi kumaliza chuo nikaenda Arusha, wakifunga chuo lazima aje kwanza arusha tukae then anaenda Marangu.

Kwasasa sote tunamaisha yetu ila tunawasiliana na kuna elements za upendo bado zinatawala nivile tuna maadili tu.

Amehusika sana kwenye kunifundisha biashara ya hardware. Tumekipa kisogo kilimo tunafanya biashara.

UKITAKA TRUE LOVE OA MCHAGGA.
ok.🐒
 
Angekupenda sana ungetusimulia ilivyokuwa vigumu kila mtu kwenda kivyake baada ya chuo!
TOO LATE! .
 
Nilipendwa na mchaga ila sikumpenda , kwanza alikuja sehemu nakaa na tulikuwa wengi kama tunadisuss, akachukua Airmax zangu enzi hizo , mara anataka fulana yangu ..Mbaya zaidi , kuna jamaa anatoka nalo huko kwao chuga , wanapenda kutembea wote ila kilitongoza linakataliwa .Lile jamaa ni boya mpaka kesho .

Jamaa alihamisha bifu kwangu , ikawa kama mjinga ananichukia kinoma yaani. Yaani ilifika kipind yule jamaa alikuwa anaenda kumshawishi sister wake huyo dogo , alikuwa anaishi kimara ndiye aliyempokea dogo kutoka Arusha . Basi mimi sikuwa na malengo na yule demu ila alikuw ananipakazia, mpaka watu wakawa wanasema : mtanga umeshamla yule demu ila ukweli sikuwa na muda naye . Nilijua ni tapeli , atukuchuna halafu baadaye hujui ana jamaa wangapi .

Kipind fulani dogo alikuwa hataki kurudi kwao Arusha , aliacha kabisa zile pigo za kiume , sikumzingatia ila nikajua kuna watu wamemlegeza , alianza kwenda viwanja sana . performance ikashuka , alikuwa vizuri tu darasani ,a anafeli kwa uzembe ; alianza kudodge mpaka test.

Mwaka wa pili kwenda wa tatu , demu akacarry masomo ila alinificha , ikawa sababu ya kuacha mawasiliano naye .​
 
Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula.

Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana chuoni tukajikuta tunatabasamu nikasimama akasimama tukasalimiana tukaulizana majina na namba.

Basi nikawa mwenyeji wake nikampa ABC za chuo na maisha ya mji kasoro bahari, baada ya mwezi mmoja tukaanza kujamiiana😋

Kalikuwa kananipenda sana hakakuwahi kuniomba hela labda nikape mimi.

Nilienjoy sana penzi la mtoto wa kichagga. Najua yuko humu na anaijua hii id😂

Baada ya mimi kumaliza chuo nikaenda Arusha, wakifunga chuo lazima aje kwanza arusha tukae then anaenda Marangu.

Kwasasa sote tunamaisha yetu ila tunawasiliana na kuna elements za upendo bado zinatawala nivile tuna maadili tu.

Amehusika sana kwenye kunifundisha biashara ya hardware. Tumekipa kisogo kilimo tunafanya biashara.

UKITAKA TRUE LOVE OA MCHAGGA.
Sio vibaya kuhusisha utamaduni na kabila lakini sidhani kama ni sahihi kuhusisha tabia(hisia) na kabila.
Upendo hauna kabila!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom