Olivia olivia
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,653
- 3,902
Abcd
Hahhah huvipend kwaniniMninga pure kwa hiyo bei sawa tu 🔥
sema mie kitanda cha 6 x 6 huwa sivielewi. Napenda sana 5 x 6.
630,000Godoro pekee kias gan
Bei nzuri sana.Kuna mtu hapa anauza hiki kitanda na godoro lake,
Hiki kitanda ni MNINGA PURE 100% NI 6 KWA 6 NA HILI GODORO NI NCHI 12 PIA NI 6 KWA 6 NI TANFOAM ARUSHA.
HIVI VITU VYOTE HAPA HAVIJAWAHI KUTUMIKA HAVIJAWAHI KULALIWA HATA SIKU MOJA.
VIPO KIMARA VINAUZWA VYOTE 1.3MView attachment 3634855
Finishing ya aje ? Kupaka rangi auKiongezee mvuto wa finishing ndipo uuze bei hiyo
Sina sababu yoyote ile. Ila havijawai nivutia kabisa. Ila kitanda ambacho kimewahi nivutie kuna mahala nilishawai kwenda lala ni hotel ule mdude sijui ni saba kwa ngapi.. kitanda kama uwanja wa mpira 😅😅😅Hahhah huvipend kwanini
SawaBei nzuri sana.
Kwa hicho kitanda, laki tatu na nusu umepata sana.Kuna mtu hapa anauza hiki kitanda na godoro lake,
Hiki kitanda ni MNINGA PURE 100% NI 6 KWA 6 NA HILI GODORO NI NCHI 12 PIA NI 6 KWA 6 NI TANFOAM ARUSHA.
HIVI VITU VYOTE HAPA HAVIJAWAHI KUTUMIKA HAVIJAWAHI KULALIWA HATA SIKU MOJA.
VIPO KIMARA VINAUZWA VYOTE 1.3MView attachment 3634855
SawaKwa hicho kitanda, laki tatu na nusu umepata sana.
We jamaa da'r'a'r'i au? Unataka kuuza hivi tu upate mtaji?630,000
Unaangalia Bei Google ?? Fika officine kwao au chukua namba zao uwapigie cm waulize beiWe jamaa da'r'a'r'i au? Unataka kuuza hivi tu upate mtaji?View attachment 3634884
laki 6 ni beibya dukani au used?630,000
Kiwanja Chanika unapata na tofali kadhaa za kuwekea bikoni.Daah hii kitu ngeni 1M sijawahi ona