Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 120,999
- 227,130
Picha hii inaongea kila kitu , aliyetukanwa mjinga na Mlevi leo kageuka ndiye mfariji mkuu !
Shikamoo Wajumbe .
Kumbe ule msemo wa malipo ni hapa hapa duniani unaishi. Huwa nadhani ni msemo tu.View attachment 1530375
Picha hii inaongea kila kitu , aliyetukanwa mjinga na Mlevi leo kageuka ndiye mfariji mkuu !
Shikamoo Wajumbe .
Hakuna mahali Mungu ameagiza shetani asameheweMkuu Bashite ni mtu mwenye kumbukumbu fupi sana
Tumsamehe kama Lisu alivyomsamehe .
Rest in Peace. Return of the AndertekerView attachment 1530375
Picha hii inaongea kila kitu , aliyetukanwa mjinga na Mlevi leo kageuka ndiye mfariji mkuu !
Shikamoo Wajumbe .
Aah wapi !Rest in Peace. Return of the Anderteker
Wapi nini?Aah wapi !
Hii ndo Dunia.Dunia Duara.View attachment 1530375
Picha hii inaongea kila kitu , aliyetukanwa mjinga na Mlevi leo kageuka ndiye mfariji mkuu !
Shikamoo Wajumbe .
Dunia guniaHii ndo Dunia.Dunia Duara.
View attachment 1530375
Picha hii inaongea kila kitu , aliyetukanwa mjinga na Mlevi leo kageuka ndiye mfariji mkuu !
Shikamoo Wajumbe .
Majibu ya Liquid
shetani akizeeka huwa malaika
Hana mawaa...hana kinyongoBasi Pierre apewe unabii haraka.
Leo kiko wapi ?Bashite mshamba sana
View attachment 1531385
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app