Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ni mtu wa kufikirisha

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni Mnyika tu.

Namtaja Jonh Mnyika kuwa mzalendo wa kwanza maana hapa duniani tunapita kama umepata wapishe na wenzio wale.

Namshauri Mnyika baada ya Uchaguzi kupita aweze kubeba maona ya watu kujiajiri na watu watamsikiliza kwasababu yeye atakua kioo sio kama wale wanaohubiri kujiajiri wakati wao wamehozi madaraka na hawataki kupisha watu wengine wapate mitaji.
 
Kuna mambo matatu yamemfanya aache ubunge;

1. Mshahara na Posho kubwa za ukatibu mkuu pamoja na fedha za safari mbalimbali.

2. Kakimbia maswali kwa wananchi baada ya kuahidi zaid ya miaka5 Maji Jimbo la ubungo/kibamba na kuona Kalishindwa, solution ni kuwakimbia kwa kivuli Cha ukatibu mkuu.

3. Nguvu ya jpm kurudisha matumaini ya wananchi kwa serikali yao. N.k

Haya baadhi yamemfanya alale mbele bila mrejesho wa ahadi
 
Siku zote kiongozi ni kuonyesha njia, Mnyika ni hazina kwa taifa anatenda anachokihubiri, huyu ni sawa na Mandela hata Mandela alikaa muda mfupi sana akatoka madarakani.
 
Kuna mambo matatu yamemfanya aache ubunge;
1.Mshahara na Posho kubwa za ukatibu mkuu pamoja na fedha za safari mbalimbali
2.Kakimbia maswali kwa wananchi baada ya kuahidi zaid ya miaka5 Maji Jimbo la ubungo/kibamba na kuona Kalishindwa, solution ni kuwakimbia kwa kivuli Cha ukatibu mkuu.
3Nguvu ya jpm kurudisha matumaini ya wananchi kwa serikali yao. N.k

Haya baadhi yamemfanya alale mbele bila mrejesho wa ahadi
Namba 2 na 3! Kwa maana hiyo Wassira anajitoa fahamu? Ziwa umbali kidogo Bunda bado hamna maji, Anamwonaje JPM anaweza speed yake na uze ule?
 
Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni mnyika tu.

Namtaja Jonh Mnyika kuwa mzalendo wa kwanza maana hapa duniani tunapita kama umepata wapishe na wenzio wale.

Namshauri Mnyika baada ya uchaguzi kupita aweze kubeba maona ya watu kujiajiri na watu watamsikiliza kwasababu yeye atakua kioo sio Kama wale wanaohubiri kujiajiri wakati wao wamehozi madaraka na hawataki kupisha watu wengine wapate mitaji.
Naunga mkono hoja
 
kweli jamaa muungwana sana ameona hakuna alichoweza kufanya kule jimboni kwake, akaona bora akae pemben October asingetoboa.
Sioni mbunge wa mbogamboga anaweza simama na mnyika kwa hoja, labda uweke fungu moja la mbogamboga(wabunge kama 10) ndio watajitahidi kidogo. Bungeni simnasaidiwaga na spika + askari wa bunge mkiishiwaga hoja.
Uko nje ya comment agogwe amesema jamaa kaona hakuna kitu alichofanya jimboni kwake,akaona Bora akae pembeni Sasa wewe ulitakiwa unavyo mquote useme kafanya nini na sio mnyika tu mbunge yeyote wa upinzani ili tuone agogwe Ni mzushi Sasa unakuja kuharisha Tena unakwama wapi mwana Sacco's?
 
Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni mnyika tu.

Namtaja Jonh Mnyika kuwa mzalendo wa kwanza maana hapa duniani tunapita kama umepata wapishe na wenzio wale.

Namshauri Mnyika baada ya uchaguzi kupita aweze kubeba maona ya watu kujiajiri na watu watamsikiliza kwasababu yeye atakua kioo sio Kama wale wanaohubiri kujiajiri wakati wao wamehozi madaraka na hawataki kupisha watu wengine wapate mitaji.
Km mwenyekiti wake anasumbuliwa kwenye biashara zake je nayeye hatasumbiliwa?
 
Uko nje ya comment agogwe amesema jamaa kaona hakuna kitu alichofanya jimboni kwake,akaona Bora akae pembeni Sasa wewe ulitakiwa unavyo mquote useme kafanya nini na sio mnyika tu mbunge yeyote wa upinzani ili tuone agogwe Ni mzushi Sasa unakuja kuharisha Tena unakwama wapi mwana Sacco's?
Kwahiyo hamuonagi anavyoongelea kero za wananchi bungeni, au ndio kusema unaishi Mars. Kama kero hazifanyiwi kazi sio kosa lake sababu pesa zetu za kodi na misaada ni serikali ndio wapo in charge sio mnyika buda. Please wake up..
 
Labda ameahidiwa mshahara mnono na chadema katika kukijenga chama ndo maana amekaa pembeni
 
Kwahiyo hamuonagi anavyoongelea kero za wananchi bungeni, au ndio kusema unaishi Mars. Kama kero hazifanyiwi kazi sio kosa lake sababu pesa zetu za kodi na misaada ni serikali ndio wapo in charge sio mnyika buda. Please wake up..
Kuongelea na kutenda Ni vitu viwili tofauti,ndio maana kajiweka pembeni kaona wanainchi hawataki kuongelewa wanataka kutendewa kasoma alama za nyakati na wapinzani watapoteza asilimia 99 ya majimbo wanayo gombea kwa vile raia wanataka kutendewa(wabunge wa CCM) na sio kusemewa(wabunge wa upinzani)
 
Back
Top Bottom