Hivi ni kosa kumsindikiza mtu kuchukua fomu?

James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,206
1,509
Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa?

Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata au kukusanyika kwa ridhaa yao bila mimi kupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.
 
Hayo ni maagizo ya chalamila huu ni upumbavu wa hali ya juu sana hawa ndio wanafanya ccm ionekane inaumiza watu. Mh raisi anangalia wateule wako hawa ndio wanao sababisha chama kichukiwa halafu wanakuja kukwambia uongo.

Mh rais stuka kuna watu watakigarimu chama

Moyo wa upendo

Moyo usio na hila.

Siasa zitapita Tanzania itabaki
 
Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata kwa ridhaa yao bila mimi kupanga lakini mimi sikupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.
Siyo kosa kisheria; ila kwa matakwa ya polisi ni kosa.
 
Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata kwa ridhaa yao bila mimi kupanga lakini mimi sikupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.
Ni kosa kubwa kwanini bado mnapendwa?
 
Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata kwa ridhaa yao bila mimi kupanga lakini mimi sikupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.
Sasa kama unakwenda kufuata na mapambio huoni kama unaleta kero kwa wapita njia? hiyo ni fujo pia maandamano haya takiwi
 
Hayo ni maagizo ya chalamila huu ni upumbavu wa hali ya juu sana hawa ndio wanafanya ccm ionekane inaumiza watu
Mh raisi anangalia wateule wako hawa ndio wanao sababisha chama kichukiwa halafu wanakuja kukwambia uongo
Mh rais stuka kuna watu watakigarimu chama
Moyo wa upendo
Moyo usio na hila
Siasa zitapita Tanzania itabaki

Asante kwa kuwaeleza ukweli... Yaan wanatumia nguvu kubwa badala ya akili... Mwisho kumbe ndio Wana haribu

Zama hizi sio za kutishana na kuumiza wanasiasa. Kama hawawezi kijipigia kampeni kistaarabu wakae pembeni maana wanavuruga Amani ya nchi..
 
Hakika mkuu tatizo kuna viongozi wanajua wanafanya kumfurahisha Mh kumbe ndio maana wanaharibu kabisa
Wanauzi sana hawa
Asante kwa kuwaeleza ukweli... Yaan wanatumia nguvu kubwa badala ya akili... Mwisho kumbe ndio Wana haribu

Zama hizi sio za kutishana na kuumiza wanasiasa. Kama hawawezi kijipigia kampeni kistaarabu wakae pembeni maana wanavuruga Amani ya nchi..
 
Angewaambia warudi makwao kistaarabu, na si umemsikia mwenyewe majibu yake na kauli za kijeuri na kifedhuli mbele ya jeshi la polisi!!? Sugu hana maadili mazuri

Hilo halikuwa jukumu lake kwasababu yeye hakuwaita. Hilo lilikuwa ni jukumu la polisi kuwatangazia watu watawanyike. Kama tatizo lilikuwa ni mkusanyiko wa watu mbona polisi haikutoa tangazo watu watawanyike badala yake wakamchukua yeye moja kwa moja.
 
Tume ya uchaguzi isipowakemea ma DC na OCD mapema uchaguzi huu unaharibika kabla haujaanza!!
 
Tume ya uchaguzi isipowakemea ma DC na OCD mapema uchaguzi huu unaharibika kabla haujaanza!!
Litume letu nalo linakuwa kama linaongozwa na mataahira! Hivi jana kule Mpwapwa kulikuwa na sababu gani za kupiga watu aisee?
 
Angewaambia warudi makwao kistaarabu, na si umemsikia mwenyewe majibu yake na kauli za kijeuri na kifedhuli mbele ya jeshi la polisi!!? Sugu hana maadili mazuri
fight for your rights mkuu ata south africa walipambana kidete kumg'oa kaburu
 
Unamuongezeaji Kiki Sugu?!!

Mtu ambaye CCM inamshinda mchana kweupe.....

Nimekumbuka mh.Rais alipata kusema "acheni kujipendekeza".

Ningekuwa Mimi ndio RC wa Mbeya,nisingekubali Askari WAFANYE Yale.....

Karibuni Kijiweni Kwangu mmnywe Al Kasus ya viwango,yaani hapa wanywaji wanamtaja tu Magufuli atakavyoshinda kwa zaidi ya ASILIMIA 90,Daah jamani CCM inapendwa!
 
Back
Top Bottom