Kudharauliwa, kuchekwa, kupewa maneno ya kejeli, kwa sababu ya kukosa kazi na umaskini ulionao, ingawaje anaekudharau ni maskini kama wewe..
Naapa kwa mbingu na ardhi siku nikija kufanikiwa sana kipesa, sitokuja saidia hata Mtu mmoja chini ya hili jua, nikitoa pesa ntakua nalenga faida ya mara...