Naomba kama kuna mtu aliwahi fanya Interview Elim Tech Foundation kada ya Research and Statistics

UDSM Alumni

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
2,522
1,363
Habari zenu wakuu kama mada inavyojieleza apo juu naomba msaada nataka kujua maswali yao na vitu vingine navoweza kitana nayo hii ndio interview yangu ya kwanza.

Nimetumiwa text message nimeambiw nijibu yes or no km ntakua available j3, kingine anasema inaweza kuwa physically au through Zoom.

Post ya Ajira ililetwa na mkuu covid 19
 
Usijsumbue mkuu
 
Back
Top Bottom