Kwanini mwanamke akiwa hedhi anamchukia Kila mtu

Kwa kuwa umeuliza swali la kibabe kidogo, ngoja upate majibu ya kibabe pia...

Kati ya mwanaume na mwanamke, sehemu kubwa ya mwenendo wa siku za mwanamke huongozwa na mabadiliko ya vichocheo 'hormones'...

Kwa mwanamke huwa kuna kitu kinaitwa Premenstrual syndrome (PMS), ni mkusanyiko wa dalili za kimaumbile au kihisia ambazo huanza angalau wiki moja kabla ya hedhi. PMS ndio inayopelekea mwanamke kuwa tu na tabia ambazo ndio hizo umezitaja "feel moodier than usual"
 
Ushaelezwa hapo juu hivo mchukulie kama alivyo....

Hii shida nilikua naiona sana kwa dada wa kazi siku zote huwa anajitahidi ana heshima ila kuna baadhi ya siku ananijibu kama yeye ndio boss, nikafatilia nikagundua ni almost mara moja kwa mwezi nikahisi huyu anakuaga period ndio maana, na kweli kila akijibu ujinga nikiingia room kwake nakuta pedi kitandani, sina tena shida nae akijibu namkaushia tu.
 
Back
Top Bottom