kweli ni bahati tu,mzumbe wamenikataa na division 1.8Wakati mwingine mambo ya kuchaguliwa chuo yanakuwa kama bahati tu.
shida yenu mnataka kwenda kusoma vyuo vyenye majina kuna mtu ana 1 ya 7 udsm na kaomba education huwa najiuliza sana yani ilimladi mtu asome udsm tu na wakati kuna vyuo zaidi ya 50 nchi hii
kweli ni bahati tu,mzumbe wamenikataa na division 1.8
nashukuru mungu udsm nmepataWatoto siku hizi mnafaulu sana necta na form 6 mnamaliza wengi sana... vyuo kama mzumbe na udsm vinapokea maombi mengi sana na sana siku hizi. Ndio maana kwenye selection wanawanyima wengi nafasi
We ulickia wapi degree wakachukua four, ukiona hvyo one yako ya kawaida na kozi uliyoomba kuna watu wamegonga zaidi yako. Tulia omba tena third roundYaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa.
Je, mnachukua 3&4?
Kama kuna malipo watoto waingie semeni please.
Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu mnawaambia wa apply upya aisee mnatupeleka wapi?
Hawawezi kuchukuliwa wote lazima wengine wakose.Yaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa.
Je, mnachukua 3&4?
Kama kuna malipo watoto waingie semeni please.
Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu mnawaambia wa apply upya aisee mnatupeleka wapi?
Bila kusahau chuo cha Nyuki TaboraHawajui maisha watoto... kuna vyuo vya kipuuzi ila kwenye ajira ama fursa ni balaa.. kuna chuo cha osha, kuna chuo cha uvuvi , chuo cha bandari, veta, NIT baadhi ya course. Etc etc