mtu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye account ya Uber/ Bolt na haitumii kwa sasa

    Salaam, Kama titlle inavoeleza,natafuta ambaye anayo account ya uber/bolt(driver account) na haitumii kwa sasa labda kapata mishe mingine. Kama unayo na ungependa kuitoa kwa mtu kuitumia katika kazi na utapata percentage yako kwa wiki kutokana na makubaliano,tafadhali tuwasiliane kupitia namba...
  2. msovero

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

    Sio kila anayekosa nafasi kwamba hana vigezo muda mwingine kuna chagizwa na mambo kama haya
  3. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndiye mtu Jasiri zaidi Tanzania tangu tupate Uhuru

    Nchi yetu pendwa, kipenzi cha nchi nyingi duniani, kilimbilio la watu wote waliokua wakikandamizwa kwenye nchi zao hakuwahi kutawaliwa na Rais wa ajabu kama Magufuli. Rais ambaye hakuwapenda raia wake, hakusikiliza tulio hai, akitoa matamko ya kudhalilisha na kukejeli. Rais ambae hakuheshimu...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mtu kupita bila kupingwa ndani ya Jimbo na Kata ni kunyima uhuru wa Wananchi

    Haiingii akilini kutangazwa MTU kapita bila kupingwa. Kila uchaguzi iwepo kanuni ya uwepo wa mgombea zaidi ya mmoja hata kama ni chama kimoja endapo vyama vingine havisimamishi kwasababu mbalimbali.
  5. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Unajua Mimi ni Nani? au Una mtu pale? Rais Samia hii ndio dawa yake, imepatikana

    Siongei mengi. Pakua pdf Jisomee mwenyewe! Halafu toa maoni yako, ni nini mtazamo wako katika hili. Mimi nampa kongole, kapiga mwingi sana.
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ACP Muliro: Wanajiona kuwa hawana imani na Jeshi la Polisi ni haki yao Kikatiba

    "Ukiifuatilia kwa karibu sana katiba yetu, moja ya haki ya raia yoyote wa nchi hii ni kuwa na uhuru wa maoni au mtizamo, kwa hiyo ukikuta kwenye kundi kubwa wachache wanamtizamo kwamba hawana imani na polisi hiyo pia ni haki kikatiba ni mtazamo". Kamanda Kanda Maalum DSM, ACP Muliro
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ZPC Muliro: Mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwe Shilingi 2 Milioni.

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tiba ya mtu aliyepooza na uvimbe kwenye ubongo

    Wadau nina mgonjwa kapalalaizi tumeenda Muhimbili imesemekana ana uvimbe kwenye ubongo uliosababishwa na TB (kifua kikuu). Mwenye kujua dawa ya kuyeyusha huo uvimbe anisaidie, hata mawazo pia ntayapokea nilimradi nipate pa kuanzia.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi mtu mzima

    Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri. Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi. Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55. Dini yake yoyote aendelee nayo. Mi situmii pombe na yeye ajitathimini. Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo. Awe anaishi Dar au jirani...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania KCMC Yaruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa

    Uongozi wa Hospitali ya KCMC umetoa taarifa ya kuruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa ambaye atakuwa amelazwa hospitalini ambao watakuwa na vitambulisho maalum Aidha wagonjwa wanaoenda klini au kuanzamatibabu wametakiwa kwenda peke yao au kuwa na ndugu mmoja iwapo watakuwa wamezidiwa
  11. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anaoa lakini bado anategemea nyumbani asaidiwe?

    Tofauti na zamani ila ndoa nyingi zinazofugwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wanaoa unakuta bado anategemea nyumbani asaidiwe. Kuna wengine anaoa yeye na mkewe anaishi nae nyumbani kwao na hapo unakuta kila kitu anategemea nyumbani familia imuhudumie yeye na mkewe. Ni kwanini...
  12. Brigadier Isaac

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanyiwa visa kisa kumkatalia mtu kuwa mpenzi wako?

    Habari wa JF members. Leo nilikuwa nimekutana na rafiki yangu niliyewai soma naye shule moja hivi ambayo baadae nikaja kuhama tulikua tukielekezana habari za baada kutengana muda mrefu, baadaye mazungumzo yakahamia ishu moja kipindi nasoma iyo shule kabla sijahama ishu yenyewe ilikuwa inahusu...
  13. Memtata

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kanifunza kitu

    Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana 'Unafiki' kama huu hasa pale Mtu maarufu au wa Kawaida tu anapofariki dunia

    gersonmsigwa Mwamba ' Fredwaa ' nilikuwa na hamu sana ya kukutana nawe siku moja, lakini haikutokea na leo umelala milele. Nilitaka kukwambia wewe ni Mwanamapinduzi wa utangazaji. Mimi mtangazaji mwenzako nilivutiwa sana na jinsi ulivyokuwa unaupigwa mwingi sana kwenye microphone 🎤. Sindano 5...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Laana ya Mzee Abduli imeanza kumpiga mtu

    Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli amuombe razi. Kabla mzee hajaaga dunia.
  17. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

    Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi? Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje? Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi? Nawasilisha
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

    Hivi sisi waswahili tuna tatizo gani lakini? kwa nini tunaona kwamba kuna watu fulani wanastahili kupewa fursa za uongozi hata wafanye madhambi ya ajabu kiasi gani? Ina maana hapa nchini suala la uongozi kuna watu wanaostahili na wengine wasiostahili? Mtu anafanya makosa makubwa katika nafasi...
  19. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kutengeneza cartoon

    Habari! Kuna wazo ninalo ila nataka kuliwasilisha kupitia cartoon ya muda wa dk 15-30 ningependa kujua gharama zake ili niweze kujua gharama zake.
  20. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu aliyekwishazaa au kuzalisha hana haki ya ndoa?

    Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto? Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye mpaka kukaa peke yake na mtoto. Sio kila mwanamke mwenye mtoto bila mume basi ukajua alikuwa MALAYA...
Back
Top Bottom