mtu

  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mtu binafsi anaweza kumiliki soko?

    Kwa jina la jamhuri, Wakuu hivi kama nina kiwanja naona kimekaa sehemu nzuri naweza kukifanya kiwe soko? Yaani hapo kati nijenge au niwape watu wajenge meza za kuweka mambo ya mbogamboga, nafaka na vyakula vingine halafu pembeni nijenge furemu kuzunguka. Kama tu yalivyo masoko mengi. Hapo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anayeweza kuandika juu ya urais wa Magufuli kwa usahihi?

    Baada ya kifo chake kumezuka makundi makubwa mawili yanayo kinzana. Moja ni wale wanaoamini kuwa alikuwa shujaa wa kipekee na ameifanyia nchi yetu makubwa. Kundi la pili wanamuona kama rais mbovu kuwahi kutokea, dikteta, fisadi, mkabila, katili nk. Kwa maelezo hayo naweza kusema kuwa ni rais...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Shida sio mtu bali mifumo ya kiutendaji

    Wapendwa wana jamvi nawasalimu, kwanza niwapongeze kwa hoja nyingi za JamiiForums na michango yenu muhimu kwa maeneo tofauti ya nchi yetu. Mimi ni mmoja wa Watanzania wengi ambao nimepata elimu na taarifa za msingi kupitia jukwaa hili, ni kweli mawazo na michango ni lazima tutofautiane lakini...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, inayotekelezwa ni ilani ya CCM au ilani ya mtu?

    Kama kweli inayotekelezwa ni ilani ya CCM iweje leo wana CCM wenyewe watilie mashaka ilani yao? 1. Wananza kujadili manufaa ya ununuzi wa ndege. 2. Leo hii wanaanza kujadili umeme wa maji dhidi ya umeme wa gesi 3. Leo hii wanajadili bandari ya bagamoyo dhidi ya reli ya kisasa. 4. Leo hii...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naomba huu uwazi alioanzisha Rais uwekwe kwenye Sheria na Kanuni

    Nafikiri hii ni glasnost yetu. Mambo mengi japo si yote ya nchi ni vema kuwa wazi. Watu wayajadili na kutoa maoni yao mbalimbali. Mambo ya umma yanatakiwa kuwekwa wazi na kujadiliwa kwa uhuru. Hapo ndiyo tutaepuka mambo kama yaliyotokea miaka mitano ya JPM. Sasa hili suala lisiachwe kwa Rais...
  6. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Makonda ashukuru sana Watanzania siyo watu wa kisasi

    Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake. Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo. Nakwambia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu mwenye Phd anatumbuliwa, iwe fundisho kwa wenye viburi vya elimu

    Kuna watu wanaamini kuitwa Dr au Prof ndo wamesoma na wana suluhu ya matatizo ya Dunia. Wanasahau kwamba hizo elimu siyo uwezo wa kudeliver. Natabiri muda wowote kuanzia Sasa wenye dharau kwa sababu ya Phd wataanza kurudi vyuoni. Waliaminishwa kwamba wizarani na kwenye taasisi nimaeneo ya...
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hasara za kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kumshambulia mtu badala ya hoja zimemmaliza Tundu Lissu baada ya Mtesi wake kupumzika

    Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sera za nchi zinabadilisha maisha ya mtu na kuamua kuhama nchi kama Darius Phillip

    Darius Philip alizaliwa Tanganyika, wazazi wake walivutiwa na utawalawa wa British East Africa Empire na kusikia Tanganyika kuna ardhi kubwa walihamia miaka ya 1940 na kufanya kilimo cha biashara. Philip alisoma Tanganyika na kumalizia elimu ya juu Uingereza alikosomea uchumi wa kilimo...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua

    Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua 1. Je kutoza kodi kubwa kunafanya uchumi kukukua? 2. Je kutoza kodi kidogo kunafanya uchumi Kukukua? 3. Je kufanya kazi za udhalishaji mali kwa bidii kwa, masaa mengi kunafanya uchumi kukua? Lete jibu hapa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

    Habari wapendwa, Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili. Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
  13. wa stendi

    JamiiForums Tanzania William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

    W. J. Malecela Huyu ni mwanaJF mwenzetu muda kidogo hajaonekana huku yuko matatizoni kwa kuumwa tumkumbuke kwenye maombi. Kwa mujibu wa maelezo yake huko Instragram hapo pichani akiwa ametoka ICU na kesho atarudishwa wodini kwa upasuaji.(hajasema ni upasuaji wa nini. Pole sana Mungu akutangulie.
  14. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

    Zaidi soma: 1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka 2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
  15. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo... Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fukuza walioukuletea jina la mtu asiye na sifa ili umteue

    Mheshimiwa Raisi, kama hilo jina halikuwa pendekezo lako bali uliletewa na wasaidizi wako ili umteue kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, nakushauri uwafukuze mara moja waliohusika kupendekeza kwako jina hilo Pili, ikiwezekana sitisha kufanya teuzi kipindi hiki na jipe muda wa kutosha kupitia na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha Taasisi, Mashirika, Watu Mbalimbali na Mtu Binafsi Kufanya kazi na mimi.

    Taaluma yangu kwa upande mmoja ni Free Lance Photographer na base yangu ipo jijini Arusha. Nakaribisha watajwa hapo juu kwenye kichwa cha bandiko hili niweze kufanya kazi inayohusiana na career yangu. Nipo fully time kufanya kazi hii kwa ustadi na kutumia akili yangu ili upate kitu bora...
  18. Slowly

    JamiiForums Tanzania Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

    Poleni na msiba wakuu, na poleni Kwa vifurushi pendwa Mambo ni mengi mda hautoshi, Paula Kajala amezidi kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu mzima na anafaa Kwa matumizi yoyote Yale .... Baada ya CEO wa Next Level Music anayetamba na albam yake ya sound of Africa ,Vanny boy mtu mbaya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)

    Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)
  20. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Madagascar yajisajili kwenye mpango wa chanjo za bure, COVAX

    Mabibi na mabwana pana habari za kutia moyo sana tokea kwa wale magwiji wa tiba ambako mh. Kabudi aliwahi kufuata dawa ya kutibu Corona kwa niaba yetu. Hatimaye Madagascar rasmi wamejisajili leo kwenye ule mpango maarufu wa chanjo za bure COVAX...
Back
Top Bottom